.........leo naingia Tukuyu.

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Ambapo nitafika mpaka Lupata, itete, Lwangwa Lufilyo, Masoko, Lutengano, Tukuyu mjini na maeneo mengineyo.
Katika tour yangu hiyo nitakuwa nina red areas zinazoweza kutumika kufanya youth empowerment na kuinua uchumi wa jamii ya watu wa Rungwe bila kuathiri ustaarabu na mazingira yao.
 
Kama utafanya research juu ya hiyo project utugaie ripoti na sisi
 
Kila la kheri....
Kama ni mara ya kwanza na msimu huu mh...!

si mara ya kwanza, ila wasi wasi wako ni dhahiri hasa kipindi hiki, kwani kuna maeneo korofi kama ule mlima wenye kona nyingi unaovuka lili daraja la mto mwalisi ili uibukie Busisya, na ule mteremko katika daraja la mto Mbaka haya ni maeneo mawili korofi katika barabara ile.
 
Ukifika lala Land mark ya Tukuyu iko juu sana pia weekend tembelea Daraja la Mungu na Mashamba ya Rungwe uone nature ya Tz...
Tukuyu ndo sehemu pekee yenye hali ya hewa ya ulaya kijani mwaka mzima...
 
Dah! umenikumbusha mbali ...

Kwanza hapa Kaporogwe Water Fall

url

url

Pili, hapa
Emma+crossing+the+Hanging+Bridge-768391.jpg

Anyway, all the best
 
Back
Top Bottom