tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Mi nikijaribu kuangalia maisha yalivyo magumu kila kitu a ghali shilingi nayo kupata ni shida halafu mweshimiwa ndio hivyo ameshapiga bonge la bit kwa yeyote atakayegoma kazi hakuna na viongozi wetu wa Tucta wameshatuambia tutulie kwa mitazamo ya tarehe nane.Kwa kweli mimi leo niko kimawazo zaidi sijisikii kufanya kazi...thanks kwa jamii forum kuendelea kuwa hewani!wengine mnasemaje...............