Leo July 4th ni kumbukumbu ya Entebe Raid

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda.

Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza makomandoo hatari duniani kuwaokoa ndugu zao wasiuawe na magaidi ya Kipalestina.

Shujaa huyu Jonathan Netanyahu ambaye hajapata kutokea mtu kama huyu duniani alikubali kuutoa uhai wake ili wazee, vijana na watoto wa Kiisrael waliotarajiwa kuuawa siku inayofuata ya Jumapili wakombolewe.

Mungu alibariki taifa la Israel, Israelis is our BFF! (BEST FRIEND FOREVER)
 
Kuna Operation MFuta Mingi, hapa Idd Amin aliponea chupu chupu kuuliwa,aliumia
 
Back
Top Bottom