Leo hakuna mtu atatoka salama ligi ya NBC kwenye uwanja wa lake Tanganyika

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,562
6,119
LEO TWENDENI TUKAJAZE UWANJANI SAA 09:30 ALASIRI JUMAMOSI YA 16/09/2023 MECHI MUHIMU KWETU NYUMBANI LIGI KUU NBC PREMIER MASHUJAA FC Vs IHEFU FC LAKE TANGANYIKA HATOKI MTU SALAMA….

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu tunakwenda kuchukua pointi Tatu mbele ya ihefu fc ndani ya Viwanja vya Lake Tanganyika kigoma.

Tukajaze Uwanja Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi za nyumbani ni lazima tushinde Afe back Afe kipa point za nyumbani lazima tuchukue.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point za nyumbani ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima tutumie mechi za nyumbani kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni”IHEFU FC Uwanja wa LAKE TANGANYIKA ni Machinjioni Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma Zima TV Achana na timu za Simba na Yanga Nenda Lake Tanganyika Nisiku ya kuwaonesha Taifa hili Mashujaa fc ni kubwa “kigoma kwanza Mashujaa fc Kwanza”
#MapigonaMwendo

Hamasa Mashujaa fc.
Cupace20230911221655618.jpg
 
View attachment 2751013
Chama la wana
 
Back
Top Bottom