Bado wapo usingizini.Nilishayasema haya siku ikifika 2600 ndio watashtuka na kutia Akili♂️
2600 inafika ndani ya mwezi huuRate ya Leo Malipo mtandaoni
$1 = TZS 2,582.076923076923
Njia ya malipo iliyotumika | Card ya Benki
Pia jitahidi kutumia akaunti ya USD kulipia malipo ya dola, sometimes ukitumia acc ya TZS kulipia dola kuna makatoRate ya Leo Malipo mtandaoni
$1 = TZS 2,582.076923076923
Njia ya malipo iliyotumika | Card ya Benki
NotedPia jitahidi kutumia akaunti ya USD kulipia malipo ya dola
LeoHali ni mbaya
Rate ya Leo Malipo mtandaoni
$1 = TZS. 2,575.636007827789 | Kupitia Card ya Benki
Ubashiri wako unatimia wiki hii2600 inafika ndani ya mwezi huu
Una dola kwa skrill mkuu? NahitajiLeo
$1 = TZS 2,598.9185136897
DaaahUbashiri wako unatimia wiki hii
Sasa tumefika hapa.
$1 = TZS 2,599
Ukitaka kujua kwa urahisi kama shilingi ya bongo dhidi ya $$ ya Marekani kama imepanda au kushuka, angalia shilingi ngapi zinanunua $ moja! Mfano kama unanunua hela za Tanzania nyingi kupata $ moja maana yake sarafu ya Tanzania imepoteza thamani ndio maana unatumia hela nyingi kununua $ moja!! Unapotumia shilingi chache kununua $ moja maana yake shilingi thamani yake imeimalika!!Ukiingi kwenye tovuti ya benki kuu na ofisi ya taifa ya takwimu, unakutana na ripoti kadha wa kadha wanazoziandaa kuhusu uchumi wa nchi. Kuna tovuti nilikuta wameandika TZS currency depreciation against US dollar ni 2.4%.
Siko mtaalamu sana wa mambo ya uchumi ila hii ratio ina maana kuwa shilingi iko imara kulinganisha na dola ya kimarekani ambapo mwanzo ratio ilikuwa 7%. Sasa turudi kwenye uhalisia, shilingi dhidi ya dola ya kimarekani inaimarika au inazidi kuzorota???
K' Matata.
Hii Sasa balaa.....so inawezekana pia ikafika 2700
Dolla moja itafika elfu 10,000 chini ya ccm wako busy na uchaguzi ujao wanawaza jinsi ya Kuiba kura.Katika mambo yanayokera,kutia hasira na kutia kinyaa ndo haya
Tanzania asilimia kubwa ya bidhaa tuna-import nje (kununua nje ya nchi) sasa hili swala la dola kupanda dhidi ya shilingi kunazidisha mfumuko wa bei hapa nchini
Hili jambo linapigiwa kelele mno lakini serikali yetu inayojidai ni sikivu hili wamelikalia kimya Bot nao kimya?
Miaka mitatu dola kupanda dhidi ya shilingi kutoka 1500 hadi leo karibia 2300 ni jambo la kutisha sana hii ni fedheha mno na inaonyesha uchumi wa nchi umedorora
Kwa hii hali mtawaweka wapi vijana wengi walojiajiri kwenye kununua bidhaa nje? (Importers)
Mtawaweka wapi wananchi kutokana na mfumuko wa bei?
Kwanini tusiruhusu free exports watu wauze nje free bila makato ili walau shilingi ipate thamani na mfumuko wa bei uondoke na wananchi wafurahie unafuu wa bidhaa kwa bei ya chini?View attachment 925952
Muda huu | Malipo mtandaoniUS $1 = TZS. 2,632.114775239499
Njia ya Malipo | PayPal
nini kifanyike?Muda huu | Malipo mtandaoni
US $1 = TZS. 2,640.744123829543
Je nini cha kufanya.nini kifanyike?