Leo Dodoma hali ya hewa ni upepo mkali na vumbi

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,046
54,335
Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi.

Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo. Mvua Pia Inaendelea Kunyesha Hapa Mjini .

Mamlaka TMA Ilitangazwa Kuanzia Tarehe 20.01023~23.01.023 Kwa Mikoa Ya Pwani Ndiyo Wategemee Kupata Upepo Mkali Wenye Kasi Kilometres 40 Kwa Sasa. Ila Huu Umeipiga Dodoma Nadhani Ndiyo Ule Utabiri
 

Nimepita Dodoma Muda Wa Saa 18:00 Kulikuwa Na Upepo Mkali, Na Giza Nene Ambalo Limefanya Watu Kukimbia Huku Na Huko Kutafuta Sehemu Za Kujikinga Na Vumbi Ambalo Upepo Wake Ulikuwa Na Kasi



Nimeona Miti Ikivunjika Na Kudondoka Chini, Pia Huenda Baadhi Ya Nyumba Zikakumbwa Na Uharibu Mkubwa Leo. Mvua Pia Inaendelea Kunyesha Hapa Mjini
Mamlaka TMA Ilitangazwa Kuanzia Tarehe 20.01023~23.01.023 Kwa Mikoa Ya Pwani Ndiyo Wategemee Kupata Upepo Mkali Wenye Kasi Kilometres 40 Kwa Sasa





Ila Huu Umeipiga Dodoma Nadhani Ndiyo Ule Utabiri
Picha plz
 
Karibu Dodoma... wahamiaji sisi tumeshapapenda balaaa...hewa ya kutosha huo upepo wa kupofusha macho labda uko huko kigwe...
Mvua imetandika balaa giza totoro leo
 
Karibu Dodoma... wahamiaji sisi tumeshapapenda balaaa...hewa ya kutosha huo upepo wa kupofusha macho labda uko huko kigwe...
Mvua imetandika balaa giza totoro leo
Umeme Mpaka February Aseme
 
Back
Top Bottom