Lens ya Kamera ya Star Tv Kwenye Kipindi cha Tusome Magazeti Watanzania ina doa la rangi!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Mimi ni mshabiki wa kipindi cha 'Watanzania Tusome Magazeti' kinachooneshwa na Star tv kila siku saa 12.30 asubuhi. Wakati mtangazaji anashika gazeti akilisoma huwa naona doa la rangi ya zambarau chini upande wa kushoto wa tv. Hili nimeliona kwa muda mrefu na napata wazo kwamba lens ya kamera ndo yenye hilo doa la zambarau.Nawauliza wapiga picha wa kipindi hiki, je, mnayo habari ya doa hilo kwenye lens?

ANGALIZO: Tafadhali usichangie kwa kusema kwamba sreen ya tv yangu labda ndio yenye huo uchafu nk. Nimeshafanya uchunguzi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom