Lengo Mama la chama cha siasa ni kushika Dola ili kuwaletea wananchi Maendeleo mwalimu wa siasa na katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally Yupo sahihi

Fahami Matsawili

Senior Member
Mar 8, 2018
172
153
Vyombo vya Dola kama jeshi, polisi, Magereza, Uhamiaji, Usalama wa Taifa. kazi ya vyombo hivi ni ipi je pale vikishindwa kufanya kazi yake kuna usalama kwa Nchi je kuna uhalali wa chama cha siasa kinachounda serikali kuendelea kutawala? Wanaoshangaa Kauli ya Mwalimu wa siasa na katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally ya kwamba chama chochote kinachounda serikali kutumia dola hiyo kutoa huduma kwa Wananchi wake na kusimamia amani ya nchi ili kiendelee kubaki madarakani wana hoja gani?

Mwaka 2015 Mgombea wa chama cha APC nchini Nigeria Mahammudu Buhari alishinda Uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa kupata kura milioni 15.4 dhidi ya mpinzani wake Goodluck Jonathan kutoka chama kilichokuwa madarakani cha Democratic People Party (PDP) aliyepata kura milioni 13.3..

Sababu za Rais Goodluck Jonathan kushindwa uchaguzi wananchi wa Nigeria walikuwa na changamoto kubwa ya Rushwa na kukithiri kwa mashambulizi ya kigaidi kutoka kikundi cha Boko haram ina maana Rais Jonathan alishindwa kutumia dola kupambana na Rushwa na vikundi vya kigaidi boko haram Wananchi wakampumzisha na kumchagua Mahammudu Buhari..

Serikali ya awamu ya Tano imefanikiwa katika mapambano ya vita ya rushwa kwa kuvitumia vizuri vyombo vya Dola, imefanikiwa katika kuweka Nidhamu na Uwajibikaji kwa watumishi kwa kuvitumia vizuri vyombo vya Dola, leo hii bandarini panasimamiwa vizuri sana na vyombo vyetu vya dola leo hii airport pamekaa vizuri mashine zinafanya kazi kwa sababu vyombo vyetu vya dola vimesimama vizuri sana.

Dola ni Chombo chenye Mamlaka ya kuendesha Utawala au siasa ya Nchi husika..Tanzania tumekubaliana kugawanya majukumu ya Dola kwa mihimili 3. Bunge litunge sheria na Mahakamani itafsiri sheria na kutoa haki na Serikali isimamie utekelezaji wa sheria na kutoa huduma kwa Wananchi.

Katika serikali kutekeleza majukumu yake ya kusimamia utekelezaji wa sheria imepewa vitendea kazi vya kutumia kutimiza wajibu huu Usalama wa Taifa, Jeshi, Polisi, Magereza, Uhamiaji.

chama kinachoshinda uchaguzi mkuu kinakuwa na wajibu wa kuunda serikali itakayofanya hayo na kutekeleza ilani yake ya uchaguzi hivyo kuwa na serikali legelege inayoshindwa kutekeleza wajibu wake wa kisheria kinachowajibika ni chama kinachounda serikali iliyopo madarakani. Hivyo chama chochote kinachounda serikali kinajitahidi kuona serikali yake inatekeleza majukumu yake kwa kiwango cha juu..

Lengo kuu na lengo Mama la chama cha siasa ni kushika Dola ili kuongoza nchi kutumia mamlaka hayo kuleta maendeleo kwenye nchi...

Kuna fununu kuwa kuna wafanyabiashara walitaka kuhujumu Miundombinu ya reli vyombo vya Dola vikaingia kazini ili kukabiliana na uhalifu huo uliotaka kuisababisha serikali ishindwe kutimiza wajibu wake wa kupeleka maendeleo kwa wananchi..

Rais wa nchi kama mkuu wa Dola (head of state) na mhe Waziri mkuu Ameviagiza vyombo vya Dola kwenda kuchunguza ufisadi kwenye bodi za Tumbaku, Korosho, katani, Pamba tumeona madudu yaliyoibuliwa huko na watu kuwajibishwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa mali za Wananchi..

Tumeshuhudia madudu yakiibuliwa kwenye mikataba na Tenda za serikali haya yote yanawezekana kwa serikali kuvitumia vizuri vyombo vya Dola katika lengo la serikali kuwatumikia wananchi wake kuwaletea maendeleo ..

Fahami Matsawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahami Matsawili,
Huu ulikuwa mchezo wa kuigiza katika kuhakikisha sekta binafsi inajengewa taswira kuwa ndio sekta adui wa taifa wakati ndio srkta muhimu kwa ustawi wa taifa hizo ni propaganda za kikomunisti
 
Tuna wasomi wajinga wengi I hope we n mmoja wao. Kwamba police, jeshi, usalama wa Taifa n sehem ya ccm??
 
Fahami Matsawili, Umesema mengi lakini mimi nikujibu kuhusu Nigeria.
Nigeria inayo tume huru ya uchaguzi, . Inayoweza kutangaza matokeo ya haki na kweli hata kama ni dhidi chama tawala na Rais aliyeko madarakani kwa wakati huo. Lakini kwa Tanganyika tume inamilkiwa na ikulu, kuanzia kuteuliwa kwake, kuapishwa na utendaji wake unafuata matakwa ya ikulu. Sasa unapokuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi, huku ukiwa umelenga kuvitumia kwa kujipendelea dhidi ya wapinzani wako si sawa.

Maiibu ya Bashiru ni ulevi wa madaraka. Na ndivyo walivyo viongozi wetu wengi wa ki Africa especially Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi kuendelea sio leo , Kama wasomi ndio Aina hii ya mleta mada na bashiru ni Bora shule na vyuo tuanzishe miradi ya ufugaji vijana wapate ajira kuliko kupoteza muda kuzalisha mifugo vyuoni isiyokuwa na akili kichwani Kama mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahami Matsawili, Umesema mengi lakini mimi nikujibu kuhusu Nigeria.
Nigeria inayo tume huru ya uchaguzi, . Inayoweza kutangaza matokeo ya haki na kweli hata kama ni dhidi chama tawala na Rais aliyeko madarakani kwa wakati huo. Lakini kwa Tanganyika tume inamilkiwa na ikulu, kuanzia kuteuliwa kwake, kuapishwa na utendaji wake unafuata matakwa ya ikulu. Sasa unapokuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi, huku ukiwa umelenga kuvitumia kwa kujipendelea dhidi ya wapinzani wako si sawa.

Maiibu ya Bashiru ni ulevi wa madaraka. Na ndivyo walivyo viongozi wetu wengi wa ki Africa especially Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuwapa darasa hawa Jamaa zetu.
Maana wana waandishi wao wa kupotosha, wakitoa makala tu basi BAVICHA wote wanaweka akili mfukoni na kuanza kazi ya ku duplicate hiyo maana. Kwenye whatsap groups, JF, hata wale wanaojiita wasomi wa Twitter!
 
Tume inamilikiwa na ikulu inamtangaza freeman mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Msigwa, Zitto kabwe, Mbatia akina heche matiko bulaya hawa wote walitangazwa na Tume gani ya Uchaguzi brother???
Fahami Matsawili, Umesema mengi lakini mimi nikujibu kuhusu Nigeria.
Nigeria inayo tume huru ya uchaguzi, . Inayoweza kutangaza matokeo ya haki na kweli hata kama ni dhidi chama tawala na Rais aliyeko madarakani kwa wakati huo. Lakini kwa Tanganyika tume inamilkiwa na ikulu, kuanzia kuteuliwa kwake, kuapishwa na utendaji wake unafuata matakwa ya ikulu. Sasa unapokuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi, huku ukiwa umelenga kuvitumia kwa kujipendelea dhidi ya wapinzani wako si sawa.

Maiibu ya Bashiru ni ulevi wa madaraka. Na ndivyo walivyo viongozi wetu wengi wa ki Africa especially Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtasema sana lakini ni aibu chama kizee kama ccm kushinda kwa mbeleko ya police.. kikwete ana akili sana kwa matamshinyake

Kwa tafsiri rahisi ni kwamba ccm imeshindwa kuwaletea wananchi maendeleo na ccm inatengeneza mgogoro kati ya vyombo vya dola na wananchi

Vyombo vya Dola kama jeshi, polisi, Magereza, Uhamiaji, Usalama wa Taifa. kazi ya vyombo hivi ni ipi je pale vikishindwa kufanya kazi yake kuna usalama kwa Nchi je kuna uhalali wa chama cha siasa kinachounda serikali kuendelea kutawala? Wanaoshangaa Kauli ya Mwalimu wa siasa na katibu mkuu wa ccm Dr Bashiru Ally ya kwamba chama chochote kinachounda serikali kutumia dola hiyo kutoa huduma kwa Wananchi wake na kusimamia amani ya nchi ili kiendelee kubaki madarakani wana hoja gani?

Mwaka 2015 Mgombea wa chama cha APC nchini Nigeria Mahammudu Buhari alishinda Uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa kupata kura milioni 15.4 dhidi ya mpinzani wake Goodluck Jonathan kutoka chama kilichokuwa madarakani cha Democratic People Party (PDP) aliyepata kura milioni 13.3..

Sababu za Rais Goodluck Jonathan kushindwa uchaguzi wananchi wa Nigeria walikuwa na changamoto kubwa ya Rushwa na kukithiri kwa mashambulizi ya kigaidi kutoka kikundi cha Boko haram ina maana Rais Jonathan alishindwa kutumia dola kupambana na Rushwa na vikundi vya kigaidi boko haram Wananchi wakampumzisha na kumchagua Mahammudu Buhari..

Serikali ya awamu ya Tano imefanikiwa katika mapambano ya vita ya rushwa kwa kuvitumia vizuri vyombo vya Dola, imefanikiwa katika kuweka Nidhamu na Uwajibikaji kwa watumishi kwa kuvitumia vizuri vyombo vya Dola, leo hii bandarini panasimamiwa vizuri sana na vyombo vyetu vya dola leo hii airport pamekaa vizuri mashine zinafanya kazi kwa sababu vyombo vyetu vya dola vimesimama vizuri sana.

Dola ni Chombo chenye Mamlaka ya kuendesha Utawala au siasa ya Nchi husika..Tanzania tumekubaliana kugawanya majukumu ya Dola kwa mihimili 3. Bunge litunge sheria na Mahakamani itafsiri sheria na kutoa haki na Serikali isimamie utekelezaji wa sheria na kutoa huduma kwa Wananchi.

Katika serikali kutekeleza majukumu yake ya kusimamia utekelezaji wa sheria imepewa vitendea kazi vya kutumia kutimiza wajibu huu Usalama wa Taifa, Jeshi, Polisi, Magereza, Uhamiaji.

chama kinachoshinda uchaguzi mkuu kinakuwa na wajibu wa kuunda serikali itakayofanya hayo na kutekeleza ilani yake ya uchaguzi hivyo kuwa na serikali legelege inayoshindwa kutekeleza wajibu wake wa kisheria kinachowajibika ni chama kinachounda serikali iliyopo madarakani. Hivyo chama chochote kinachounda serikali kinajitahidi kuona serikali yake inatekeleza majukumu yake kwa kiwango cha juu..

Lengo kuu na lengo Mama la chama cha siasa ni kushika Dola ili kuongoza nchi kutumia mamlaka hayo kuleta maendeleo kwenye nchi...

Kuna fununu kuwa kuna wafanyabiashara walitaka kuhujumu Miundombinu ya reli vyombo vya Dola vikaingia kazini ili kukabiliana na uhalifu huo uliotaka kuisababisha serikali ishindwe kutimiza wajibu wake wa kupeleka maendeleo kwa wananchi..

Rais wa nchi kama mkuu wa Dola (head of state) na mhe Waziri mkuu Ameviagiza vyombo vya Dola kwenda kuchunguza ufisadi kwenye bodi za Tumbaku, Korosho, katani, Pamba tumeona madudu yaliyoibuliwa huko na watu kuwajibishwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa mali za Wananchi..

Tumeshuhudia madudu yakiibuliwa kwenye mikataba na Tenda za serikali haya yote yanawezekana kwa serikali kuvitumia vizuri vyombo vya Dola katika lengo la serikali kuwatumikia wananchi wake kuwaletea maendeleo ..

Fahami Matsawili.
View attachment 1379528

Umesahau kuweka namba ya simu yenye mpesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa wangelikuwa wanatufundisha tafsiri za sheria inayoendana na elimu ya uraia ingekuli vema sana.
Tatizo lililopo ni kuwa mwanzoni tulishindwa kuambiana ukweli,kuna mahala ukweli unafichwa kwa makusudi na wanasiasa ili wautumie kama mtaji.
Kuambiana ukweli kama aliyoutoa Katibu wa CCM ni katika tafsiri ya maana ya "Chama Tawala" kwa kuwa uwezi kutawala kama huna "Dora"/Mamlaka yenye Nguvu".
Hivyo ni vema vyama vingine vingeliwaambia wananchi kuwachagua ili washike Dora,hata hivyo ni wajibu kwa chama tawala kuwakumbusha wapinzani kuhusu tafsiri ya sheria,kanuni na taratibu ili nao wapate kutawala.
 
Back
Top Bottom