Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

Argument yako huwez kuiprove kuwa asingesalimia ningesema the same. So is not scientifical.

Kuwa Dr wa uchumi sio nafasi ya kuchaguliwa has kwa chuo kama udsm, ni nafasi zinazotokana na maarifa, juhudi na akili.

Nassari akemewe, ni masikini aliepata ------ yake sasa yanalia mbata. How shame.

Sasa wewe inaleta uDr kwenye makunywaji? TEna Mafishi mafishi? Hapo ni kelele za mngano wa glass, supu ya mkia wa ng´ombe na umbea kwa sana. Mambo ya `uganga´ Wa uchumi sijui uwakilishi wa wananchi sio mahala pake hapo.
 
Huyu Nassari ndio bogus, analeta ubunge wake samaki samaki, apeleke arumeru na dodoma.
 
Lemas' political legitimacy is poor....ataenda kutukana tuu... Siamini kama ataongea point za maendele na mahitaji ya watu wake.....
 
Nassari naye ni upepo tuu kwa sasa... nawahakikishieni kwa mienendo ya wabunge wa CDM kutokuhamasisha uwajibikaji wa viongozi majimboni ..mwaka 2015 ni shida san...lazima tukubali kujituma na kupima utendaji wa hawa jamaa...sio kuwa tu wafuasi bila kuona mabadiliko.... we don need political mass we need mass for social change....sio POROJO TUU
 
Naunga mkono
 
Joshua Nasary anajisikia sana. Kuna siku nlikuwa nao na washkaji zake, na washkaji zangu pale samaki samaki. Inshort hakuwa anawajua watu wengine, nyadhifa na hadhi zao katika hili tifa. Alivyofika pale akaslimia kila mtu pale samaki km ilivyo tabia yake akifika kwenye mkusanyiko anacot attention at any expense.

Tulivyokaa akatoa mara tablet, mara smart phones, akadominate kijiwe, story zote anazijua yeye. Aliponiudhi alimuona mshakaj ambae kimuonekano alikuwa janki akamwambia hebu samahan nchukulie vocha, mshkaji bila hiyana. Mara yule muhudumu wa samak alikuwa kw nyuma akamwambia tena mtu kwenye ile company ebu kamwambia yule dada amletee malimao ya kweny samak. Aliniudhi kwa sababu hakujua wale ni watu hajuani nao anadhan ni wapiga kura wa kawaida, kumbe mmoja ni Dr wa economic dept ya uchumi udsm. Nlitaman nimpige makofi anamtuma mwalim wangu.

Ila watu wa arusha wana dharau sana.

Ndio wajanja wa mkoani walivyo
 
Back
Top Bottom