Lema amuokoa Dc Arusha

Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?
Lema hajaleta siasa kwenye maisha ya watu, wala hajasema anafurahia watu wanapopata ajali na kulemaa. Alichofanya ni yeye kuwatuliza waendesha pikipiki hao na kuahidi kutafuta ufumbuzi wa tatizo lao kama mbunge wa Arusha. Mbona uko hasi kiasi hicho??
 
Ila jaman traffic wa arusha wamezidi "kupiga bao"...sio kwa bodaboda tu.its too much..kamanda sabas vijana wako njaa kali
 
Msalani na lizibon kama kwamba vichwa vyao vina ubongo wa maziwa mgando anaambiwa bada2 walikua asila Lema ndo kawasihi
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?
unajua maana ya uongozi??
kwa iyo ulitaka lema awapuuze wapiga kura wake wenye jazba???

acha utoto wewe, mahaba yamekuzidi hadi umejivua ufahamu.
 
Back
Top Bottom