Lema amuokoa Dc Arusha

Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?

tatz lako siasa imewatawala, ni siasa ipi lema kaileta? lema ndo anawanyanyasa bodaboda? lema ndo trafc? kila jema linalofanywa na wapnzan kwenu ni baya, unadhan bila lema kn dc angewatuliza? mumshukuru lema kwa kuwastiri kwa hlo!
 
We kweli boya!!!!Mongela angepigwa leo!!amshukuru Lema

Hizi sinema za kihindi tumeziona nyingi sana, mbona wasiende polisi kufanya maandamano, ila wameenda office ya DC, Lema akiwapo. that was all pre planned. Lema asifanye watu ni mbumbu.
 
Yani huyu unaweza kukuta aliwambia waje wakusanyike pale na wafanye vurugu,alaf yeye aonekane amemuokoa na kijitafutia umaarufu wa kijinga.

Jiji la arusha alitopata maendeleo mpaka lema akiondoka,watu watashindwa kufanya maendeleo maana watafunga kila leo shughuli zao kwaajili ya vurugu za lema na vijana wake.
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?

Mh. Lowasa aliwaahidi mikopo. Mimi tangu siku ya kwanza nililaani kuleta pikipiki rahisi ambazo zimewafanya watu wetu wawe legelege
 
hizi sinema za kihindi tumeziona nyingi sana, mbona wasiende polisi kufanya maandamano, ila wameenda office ya dc, lema akiwapo. That was all pre planned. Lema asifanye watu ni mbumbu.

mwenye akili timamu lazima agundue hii ilikuwa planed na nia ni kujitafutia umaarufu usio na tija kwa taifa.

Watu wa arusha hasa vijana wataendelea kuvunja sheria maana mtetezi wao lema yupo.

Lema ana cheza michezo ya darasa la pili.
 
Halafu mkuu, asubuhi uliwekwa uzi humu ambao ulionesha kuwa wote Lema na DC walikuwa watuhumiwa mbele ya bodaboda hao. Sasa nashangaa mtuhumiwa mmoja anajifanya ni muokoaji

Sawa mama mkwe umeeleweka na wewe umoo
 
Sawa mammy umeeleweka na wewe umo
 
Mawazo mgando kwani lema ndio kawambia wandamane? Acheni wivu wakike Mh lema ni Rais wa Arusha.
 
Yani huyu unaweza kukuta aliwambia waje wakusanyike pale na wafanye vurugu,alaf yeye aonekane amemuokoa na kijitafutia umaarufu wa kijinga.

Jiji la arusha alitopata maendeleo mpaka lema akiondoka,watu watashindwa kufanya maendeleo maana watafunga kila leo shughuli zao kwaajili ya vurugu za lema na vijana wake.
Kichwa vuru vuru wasaliti hawajitambui
 
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?

Lema kama mbunge na mwakilishi wa wananchi ana haki kuwatetea na kuwaongoza watu wake katika jambo la busara ili kuleta suluhu na makubaliano katika jamii.

"Good leader is a one who keep infront its citizens during celebration and keeping backward during the conflicts"
 
Back
Top Bottom