Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,305
- 14,200
Leo hii Lebron James anaivunja rekodi hiyo na atakuwa kinara wa mabao huko NBA kwa sasa King đź‘‘ James hana mpinzani na inaaminika huenda akajengewa sanamu lake pale Ikulu ya Marekani.
Huyu Lebron ni kama ujumuishe Curry, Jordan, Magic, Shaquille na Durant ndio upate kiwango chake hivyo unaweza kuona ni mchezaji wa aina gani.
=============
LeBron James aweka rekodi ya mchezaji aliyefunga pointi nyingi NBA
Ameweka rekodi hiyo na kumzidi Kareem Abdul-Jabbar baada ya kufikisha pointi 38,388 wakati akiichezea timu yake ya Los Angeles Lakers dhidi ya Oklahoma City Thunder.
Kabla ya kuivunja rekodi hiyo iliyodumu kwa miaka 34, James alihitaji pointi 36 kuifukia lakini akafanikiwa kufunga pointi 38 huku akishuhudiwa na Abdul-Jabbar ambaye alikuwa uwanjani.
Amefanikiwa zoezi hilo zikiwa zimesalia sekunde 10.9 mchezo kumalizika ambapo Lakers ilipoteza kwa vikapu 133-130