Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Le Mutuz: Leo Uchaguzi So Need Your Prayers!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 7, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 12,314
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele JF, leo ndio siku ya uchaguzi ngazi za Wilaya na Mkoa CCM hapa Karimjee Hall, ninagombea Ujumbe wa CCM wa the Great Wilaya ya Ilala na Ujumbe wa Kamati ya Siasa, so Inshallah nikipita then safari yangu ya NEC na Chama cha Wazazi Taifa mwezi ujao itakuwa 100% sawa you know!!

  - This is a tough one so I need your prayers people, One Bongo! One Nation! Ingawa wengi hatuna Itikadi moja; lakini at the end of the day ni we are One Nation na SO HELP ME GOD!!

  LE BAHARIA BIIG SHOOW!!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kila la kheri.Lakini yule Kichaa Kibajaji anawatia aibu watu wote wa Mtera.CHADEMA FOR LIFE
   
 3. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,491
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Sina imani na wewe siku izi pedezhee...hata hapo utachemsha tu.NENDA FM ACADEMIA UWE PRESDAA WAO.
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,679
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  umehangaika weee!all way from new York tulifikiri unakuja na ma idea kibao ya kumkomboa mtanzania,kumbe weeee hamna kitu kweli mbongo ni mbongo ndio maana wakenya wanatuita chips mayai,,,,mkuu utapata ma prayer kibao,never mind bror,
   
 5. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,082
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mkuu nieleweshe kwamba kati ya hizo nafasi unazo gombea sasa na ile ya UBUNGE WA EAC ni ipi nafasi kubwa, make isije kuwa ni kama Mtu anashindwa URAISI ANAKIMBILIA UBUNGE UNAKUWA UNAJISHUSHA, OK ALL THE BEST MKUU WEWE PAMBANA TU, MAKE NAKUAMINIA HUKATI TAMAA,

  NAKUFANANISHA NA Thomas Alva Edison MVUMBUZI WA BALUB HAKUKATA TAMAA KABISA,
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Toka lini kuku aliyekatwa kichwa akapewa uongozi?
   
 7. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 677
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Familia nzima haiwezi kuwa ya wanasiana mkuu. Jaribu kutoka kivingine. Na ni aibu kupigania kuingia katika chama kinachoelekea kufa.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Uongozi kamwe hauwezi na hautoupata labda kukeketa wagogo!
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,435
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mbagala wenzako majina yamepitishwa na wilaya, yakaondolewa na kata (source wapo redio).

  prepare for the worst kama hujatoa kitu kidogo (kwa kuwa nayo ni sera yenu).
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,461
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180

  Umesahau kuandika ha! ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,112
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  kila la kheri BIG SHOW
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Le Mutuz bana hujakata tamaa tu siasa sio fani yako anyway mafanikio mema
   
 13. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  sio na wewe LE mutuz upate uongozi uwe Kama wao! Aisee tutakupopoa mawe! Ukipata uongozi Kama watakupa sababu CCM hawataki critical thinkers wanataka watu ka KINA Lusinde ufanyie kazi Yale uliyojifunza JF all the best....
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,879
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu. mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga, tatizo ni nini hasa? Kwani kama baba (Malecela) na mama (kilango) ni wanasiasa, lazima na mtoto uwe mwanasiasa?? Vipi kibarua cha kubeba mabox USA kimeota majani? Mimi nakuona kama una kitu kama uroho wa madaraka, na hii inaweza ikakufanya usiwe kiongozi mzuri hata kama utachaguliwa.
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 12,645
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  Una kura yangu na sala zangu mkuu!
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,049
  Likes Received: 699
  Trophy Points: 280
  huna lolote wewe, hufai hata balozi wa nyumba kumi...
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  so what?
   
 18. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,543
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  One page mtu mzima...
   
 19. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,579
  Likes Received: 1,291
  Trophy Points: 280
  Sasa Mkuu naona unaelekea kucheza mechi za mchangani wewe!

  Juzi wenzio wamekuchinjia baharini bado umo tuuuu?! Pole Weye!!

  Toa kitu kidogo mkuu ndo sera ya chama letu bila hivyo na leo unatoka bila bila!!
   
 20. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ninakutakia mafanikio lakini si kwa kupitia prayers, sala hazihitajiki katika jambo hili. Fanya kapeni, waoneshe uwezo unaolingana nao (ni sehemu ambapo werevu hawapendwi), na kama una rushwa - toa!! Usipokuwa na rushwa, this is another merry-go-round (Bunge la Afrika Mashariki).Ukikosa uwakilishi kwa ngazi hii, shuka mpaka ngazi ya kijiji au mtaa. Siasa ni ngumu wakati mwingine.
   
Loading...