Le Mutuz Is So Fragile Inside

Le mutuz ukiwa na mawazo kinyume nae anakublock, hapendi criticism. Ndo akili kubwa hiyo. Kila anachosema yeye ukubali tu.
Yule jamaa ana matatizo anaamini elimu aliyoipata au aliyonayo aliyosoma huko majuu ndio Kila kitu anashindwa kuelewa hata hao walimfundisha huko bado kuna vitu wanakuja kujifunza huku kwetu
 
Huwa ana piga biiti huyu jamaa akishikwa pabaya...kuna kipindi alisema atawafungulia mashtaka wote wanaomkejeli mtandaoni.

Sijui nani na nani ashawapandisha korokoroni mpaka sasa?
 
So Guys Handle Him With Care. Despite His Bulkiness, Inside He Is So Light To The Extent That He Cannot Handle New Challenges From New People. I Just Wanna Tell Him That Virtual Battle Is Quite Different From Physical One.

Nakushauri Tu Mkuu, Unaonekana Very Socia At Face But Fierce At Heart. Wavumilie Watu Maana Ndio Wanaokupa Mkate. Wakikuchoka Watakupa Mawe.

Angalia, Roho Ya Yule Mtumishi Anayetamani Malaika Ateketeze Social Media Isiwe Nawe.

- hahahahahahahahahaha pole sana mkuu ila my Instagram page ni uwanja wa business inaniingizia Millions of Tshillings, sasa wanaonilipa hawapendi lugha za chooni kama ulizotumia hapa ndio maana ninawaondoa wajinga wote kama wewe wasiokuwa wastaarabu, kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sio kupoteza muda na empty brains kama wewe so pole sana ila ukiandika ujinga kule nitakuondoa tu maana ndio sheria namba moja ya wanaonilipa kutangaza kwenye my page, hahahahahahahah U know

le Mutuz Nation
 
Iiiiiiiiiii le mburulaz naona umeibuka sasa, ungesubiri kidogo hadi page zifike angalau 11 you know
 
- hahahahahahahahahaha pole sana mkuu ila my Instagram page ni uwanja wa business inaniingizia Millions of Tshillings, sasa wanaonilipa hawapendi lugha za chooni kama ulizotumia hapa ndio maana ninawaondoa wajinga wote kama wewe wasiokuwa wastaarabu, kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sio kupoteza muda na empty brains kama wewe so pole sana ila ukiandika ujinga kule nitakuondoa tu maana ndio sheria namba moja ya wanaonilipa kutangaza kwenye my page, hahahahahahahah U know

le Mutuz Nation

mkuu kama unaingiza pesa ndefu jitibu ile miguu iliyokakamaa hadi imebadilika rangi na kuwa ya kijivu.
 
- hahahahahahahahahaha pole sana mkuu ila my Instagram page ni uwanja wa business inaniingizia Millions of Tshillings, sasa wanaonilipa hawapendi lugha za chooni kama ulizotumia hapa ndio maana ninawaondoa wajinga wote kama wewe wasiokuwa wastaarabu, kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sio kupoteza muda na empty brains kama wewe so pole sana ila ukiandika ujinga kule nitakuondoa tu maana ndio sheria namba moja ya wanaonilipa kutangaza kwenye my page, hahahahahahahah U know

le Mutuz Nation
Mkuu Lemutuz..akili nene.
Akili nyembamba hawawezi kukuelewa.
 
- hahahahahahahahahaha pole sana mkuu ila my Instagram page ni uwanja wa business inaniingizia Millions of Tshillings, sasa wanaonilipa hawapendi lugha za chooni kama ulizotumia hapa ndio maana ninawaondoa wajinga wote kama wewe wasiokuwa wastaarabu, kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sio kupoteza muda na empty brains kama wewe so pole sana ila ukiandika ujinga kule nitakuondoa tu maana ndio sheria namba moja ya wanaonilipa kutangaza kwenye my page, hahahahahahahah U know

le Mutuz Nation

Duh le Ushuz utachekaje hivo mtoto wa kiume,taratibu man ,Mimi nina maswali Mawili kwako .

1: hii shutuma kua una élément za ushoga ,je zina ukwel ndani yake ? For sure napata wakati mgumu KWA kutizama matendo yako na swaga zako ,I don't know kama ni kweli au la,but jibu lako nitaliheshimu zaid mkuu .

2: NI KWEL una denial and fear of age ? That is why unatulazimisha tukuone kua bado NI kijana wa around 30 ,Sababu binadamu yoyote akifika age around 50 na kuendelea huwa anabadilika Sababu anakua kwenye time ya wisdom and maturity ,sasa we ni tafaut sana ,i respect so much your work Sir but swaga zako doesn't align with your age ,Sababu mtu kama wewe upo instagram ,then we expected kua page yako iwe ni center of maturity and wisdom
Where youth could learn the truth of life,but page yako NI ya mipasho na ushangingi zaid ,hili unalizungumziaje mkuu KWA muktadha wako ?
 
1. Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe hata asipoulizwa kama ulivyofanya na kwa mwanaume kama wewe kuuliza maswali ya kike kama haya huoni kuwa unajisema ni shoga maana tabia za kishoga shoga ni pamoja na kuhisi wengine wote ni kama wewe yaani shoga au nakosea mkuu?

2. Mtoto wa kiume kama wewe kuuliza uliza wanaume usiowajua umri wao kwenye social media inaashiria nini mkuu na hasa hapa mjini Dar? hahahahahahah

le Mutuz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom