LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

Kaka William it's not long umetangaza mchumba na kikao cha kwanza kilishakaa as per pictures in your blog inabidi hawa wengine potezea tu

- BAdilika mawazo kwani kwenda lunch na mbebez lazima iwe mapenzi tu vipi kama aan business tukaongea biashara ingawa by the way sijaoa bado so please, kuchumbia sio kuoa mtuwanguz usichanganye mambozz u know!!

Le Mutuz
 
Kubwaa jingaa in action. Miaka 55 ndo unakumbuka shuka na kuanza mashindano na watoto wadogo. Shindana na ulio nao umri sawa mbwiga wewe.

- sishindani na mtu I am just livingi my life na kwa bahati nzuri maisha yangu ni so excting mpaka yanarushwa kila siku kwenye blogs na media mpaka za nchi za nje, kama huepndi that kufa my friend tujue una hasira ama sivyo utayasoma tu maisha yangu hapa kila siku!! ha! ha!

Le Big Show
 
U know,wabongo wanachuki za kijinga sana mamen.Wanatamani hata ile pepa yako ya criminology,iliyoshika nambari wani,wangesahihisha wao.
 
Broo,nakukubali sana!!ila Mdogo wako hayoo ndo mambo yangu kuandaa mabash full nipo Nondo toka paale Mlimani,Na degree yangu pia ndo mambo hayo hayo...kama vp nikutafute unipe Mchongo Maana street life inatisha!!!sasa sijui nakupataje!!!big broo le mutuz!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yasiwe kama yale ya NBC ukawauza wenzio
hahaha

- Inamhusu Big Celebirty yaani Le Mutuz Big Show so relax mamen!!

Le Mutuz
hahah self proclaimed
Kaka William it's not long umetangaza mchumba na kikao cha kwanza kilishakaa as per pictures in your blog inabidi hawa wengine potezea tu
njia kuu is damn too long...
- BAdilika mawazo kwani kwenda lunch na mbebez lazima iwe mapenzi tu vipi kama aan business tukaongea biashara ingawa by the way sijaoa bado so please, kuchumbia sio kuoa mtuwanguz usichanganye mambozz u know!!

Le Mutuz
hahhah....
 
- So unataka niwajaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utaelewa mfano wangu kwa jamii or what? ha1 ha! ha!, I mean I am single man ninachora mistari kwa mbebez kama huyu wewe unalia lia sasa ulitaka nijaze mimba wabunge wa viti maalum ndio utanielwa au what? ha1 ha!

Le Mutuz

No usiwajaze mimba wabunge wa viti maalum, u know, just tell mzee Jumanne it was so foolish of him kubadili dini ili apate uraisi, u know! ha ha ha! U know and don't forget kumwambia mam wa kambo alibugi meeeen! U know! ha ha ha!
 
- HA1 HA! HA! WEWE ITAISOMA TU HAPA NONSENSE Ippy alikuwa mdogo kwangu yaani majungu na umbeya kama kina shankupe kazana mkuu mjini hapa ha! ha! ha!

Le Mutuz

Alikuwa mdogo wako kiumri lakini ki-akili alikuwa kaka yako kama si baba yako, ha ha ha! U know ma men!I don't think Ipyana would've enev think of converting to Islam to get a position in the office, ha ha ha1 You know ma men!
 
No usiwajaze mimba wabunge wa viti maalum, u know, just tell mzee Jumanne it was so foolish of him kubadili dini ili apate uraisi, u know! ha ha ha! U know and don't forget kumwambia mam wa kambo alibugi meeeen! U know! ha ha ha!

- Ok umeshaandikisha kuja Instagram Party mkuu maana this is about the party sio siasa tena ok!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom