Lazima twende gym,bungeni sasa ni ulingoni! Ukilemaa tu hauna meno"

Ziggydandy

New Member
Jul 27, 2011
1
0
Daah jaman sasa hivi tulipofikia inatisha bungeni.KWANI WABUNGE WANAFANYA VITUKO KAMA WATOTO. jana wametoa taarifa za uongo na kuiga saini ya WAZIRI MKUU. Leo wamerumbana baada ya kutoelewana. SWALI KWENU WANA JF WABUNGE WA CHAMA GANI WANALETA VURUGU SANA.?¿?.
 
Mkuu Karibu Jamvini....!!
Kuna majukwaa mengi hapa JF, na kila Jukwaa lina maana yake hapa ni Jamii Photos (yaani Jukwaa la Picha) kwahiyo kama hakuna picha hapa sio mahala, issue yako kama ni ya kisiasa kuna jukwaa lake, lakini hii habari yako kama ni porojo kuna jukwaa la Chit Chat

Karibu Jamvini
 
VoiceOfReason;

ni post yake ya kwanza,mara ya pili hatorudia
 
Daah jaman sasa hivi tulipofikia inatisha bungeni.KWANI WABUNGE WANAFANYA VITUKO KAMA WATOTO. jana wametoa taarifa za uongo na kuiga saini ya WAZIRI MKUU. Leo wamerumbana baada ya kutoelewana. SWALI KWENU WANA JF WABUNGE WA CHAMA GANI WANALETA VURUGU SANA.?¿?.

jukwaa hili ni la picha, kwa vile hamna picha toa hapa si mahali pake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom