Laws applied ni lulu's case

manasa

Member
Apr 2, 2012
88
7
Penal law ( sheria ya makosa ya jinai)
evidence law( sheria ya ushaidi)
family law (sheria ya familia)

penal law "whether is murder or manslaugher"
" whether all this time the diseiced was raping the accuse person"
evidence law "wether the expert evidence is admissible or not"
"whether the circumstacial evidence is admissible"
family law " whether the accused person is a child or not"

these are just some laws applied etc...other are children law,
 
hapo kwenye red sidhani kama inatumika, kwenye umri penal code inazungumzia mtoto ni nani, pia sheria nyingine inayoweza kutumika ni Law of the child Act of 2009 pia inazungumzia juu ya kuthibitisha umri wa mtoto
 
Jamaa ni bush lawyer kweli! Kwa issue km hzo huctahl kucmama mahakaman..u're so shalow ndg yangu.
 
Tafsri(interpretaion) ya sheria husika hutoka kwenye sheria husika, na sio tafsri ya mtoto kwenye sheria ya ndoa unapeleka kwenye sheria ya uchaguzi utachanganyikiwa utaona kama kuna double standard kumbe sio.
 
Thanx people yani agree have just be come a bush lawyer for real from law in making to bush lawyer i think ujobless unachangia kukaa nyumbani without practicing ndo matokeo yake hadi narise issue uchwara......
 
Manasa, mi sikubaliani na kukuita bush lawyer na kukuponda kuwa hustahili kusimama..... Mi naona kama lengo lako lilikuwa zuri tuu kutupa mwanga angalau kidogo..maana watu wengine hapa siyo wanasheria... Sote tunajua kuwa watanzania wengi hatupendi kusoma, hata sheria zetu..watu wanasubiri mpaka yawafike ndiyo wanaanza kuhangaika. Kwa hiyo,ninakushukuru kwa comment yako maana ni mchango mmojawapo katika kuifafanua sheria.

Kaa salama.
 
Thanx mwaya may God bless u kwa kunisoma ila nimekubali kosa si ndio kujifunza huko.
 
Back
Top Bottom