LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

just to point out, hapo pekundu hakuna tofauti kati ya hayo maneno mawili!
Corporation - A legal entity that is separate and distinct from its owners, a corporation has a right to enter into contracts, loan and borrow money, sue and be sued, hire employees, own assets and pay taxes, the most important aspect of corporation is a limited liability that shareholders have right to participate in the profits through dividends, but are not held personally liable for company's debts

Company - A proprietorship, partnership form of enterprise that engages in business
 
true lakini simple definition ya company kwa upande wa Tz ni a corporation kwa upande wa marekani. But i guess you can call it corporation company. It all makes sense.

"...In English law and in the Commonwealth realms a company is a body corporate or corporation company registered under the Companies Acts or similar legislation. It does not include a partnership or any other unincorporated group of persons, although such an entity may be loosely described as a company."
 
Wazo zuri,Tuwekeze ktk ujenzi wa SOKO/Shopping Mall.mtaji ukiongezeka tuwekeze ktk Usafiri wa Reli, Posta- mabibo- ubungo,Posta -ukonga-g/mboto- pugu.Post- kurasini-kigamboni(kibada).Posta=Station pale central
tusiwe na wasi Serikali ya CCM bado legelege katika masuala ya usafiri wa Reli.swala la Reli in Dar-es-salaam lizungumziwa na Raisi mstaafu Mh.Mwinyi wakati akiwa madarakani.miaka 20 hamna aliyejaribu kutenda,Reli ipo na haitumiki ni suala la kusafisha reli na kuweka mabehewa.

Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.

Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,

Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye mambo ya maana, and There are people with very constructive Ideas.

Nimepata bahati ya kupitia ile Idea ya JE Saccos and its a marvelous Idea. Na Ningependelea Tuisupport ile Idea kwa nguvu zetu zote. Just think how many times you spent 50,000 in a Bar for a Single day. just take this amount to JE saccos and and Just forget about it, the way you forget it after spending on Beers.

I just have an Idea Closely connected to That.

Hivi haiwezekani tukajikusanya kama Members 50. with a fixed contribution of 5,000,000.

This will bring in a total of 250,000,000.

Hapa tunaweza sajili kampuni tunaingia Mzigoni- Au Tunaweza hata kujenga a small and classic guest house mkoani au Dar Depending on this raised Capital

What do you say Guys.
 
true lakini simple definition ya company kwa upande wa Tz ni a corporation kwa upande wa marekani. But i guess you can call it corporation company. It all makes sense.

"...In English law and in the Commonwealth realms a company is a body corporate or corporation company registered under the Companies Acts or similar legislation. It does not include a partnership or any other unincorporated group of persons, although such an entity may be loosely described as a company."

that is exactly what i said a corporation company
 
'Vision, Patience and Execution' ya TF, nami napenda sana kujiunga katika kitu 'hii', nadhani ni alama nzuri kuwa hatuiishii kujadili kwa kupongeza ama kukosoa bali tunajiweka kama watu makini na wenye nia ya kuzikabili changamoto za kila siku mtu mmoja mmoja, familia, kikundi na taifa kwa ujumla. Najua kutajadiliwa mengi hapa na kwa hakika saccoss hii tunaihitaji sana na tukiamini kuwa mwenye njaa atabaki kulalamika na nguvu zake
 
ila biashara ya food products/processing ni idea nzuri maana soko lipo ni ubora tu.
hebu wataalamu tupeni mchanganuno katika hili.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wazo zuri,Tuwekeze ktk ujenzi wa SOKO/Shopping Mall.mtaji ukiongezeka tuwekeze ktk Usafiri wa Reli, Posta- mabibo- ubungo,Posta -ukonga-g/mboto- pugu.Post- kurasini-kigamboni(kibada).Posta=Station pale central
tusiwe na wasi Serikali ya CCM bado legelege katika masuala ya usafiri wa Reli.swala la Reli in Dar-es-salaam lizungumziwa na Raisi mstaafu Mh.Mwinyi wakati akiwa madarakani.miaka 20 hamna aliyejaribu kutenda,Reli ipo na haitumiki ni suala la kusafisha reli na kuweka mabehewa.

Mkuu Capital ya hayo hapo juu inaweza kuwa kama kiasi gani; pia uangalizi wake upo vipi na Break Even ni baada ya miaka mingapi (shopping mall) its all about location..., na mpaka uje upate location nzuri na ujenzi ni Billions of Money.

Kuwekeza kwenye usafiri wa reli na mabasi its Billions as well (unless kama unaongelea kununua shares..) usafiri wa dala dala ni mzuri ila nao unahitaji uangalizi mzuri sana na wa karibu.., nadhani kwa kuanzia hizi biashara tutakuwa tunaanzia hatua kubwa sana. Mwanzo inabidi tutumia ule msemo wa KISS "Keep It Simple Silly" yaani simple ideas ambazo hazina complications nyingi tukishakuwa ndio tunaweza kwenda kwenye hizo ideas kubwa na ngumu
 
Movers & Shakers: Double 'M' - YouTube

Follow that link halafu wanajamii mnaweza kuleta mawazo yenu. Sio lazima kuanzia juu sana tunaanza chini na kupanda taratibu. Cha muhimu ni usimamizi na mpangilio sio kuweka vijana wa vijiweni ambao hawana hata leseni kuwa madereva. Usafirishaji ni sector inayolipa sana, ni kuwa serious na kujitofautisha na washindani wako.
 
mkuu

mimi naomba tusifikirie kuanzisha biashara ya uchuuzi sisi tuwe wazalishaji, lets focus on manufacturing or processing and we will let the distribution chanel do the wholesale !
Tena tukiangalia na soko la nje tunaweza kufanya packing za bidhaa tu (hususan za kilimo ambazo ni cheap huku) na kuzipeleka kwenye masoko nje...
 
vipi kuhusu kununua tipper 5 mpaka sita tunazitia kwenye kampuni ya ujenzi ambayo kwa siku tunavuta 1 million kwa mwezi minimum hatukosi mil 18 ukishatowa gharama nyingine. ama tunaweza kununua Excavator mbili na kukodisha.

Here we Go. I go with this Idea
 
vipi kuhusu kununua tipper 5 mpaka sita tunazitia kwenye kampuni ya ujenzi ambayo kwa siku tunavuta 1 million kwa mwezi minimum hatukosi mil 18 ukishatowa gharama nyingine. ama tunaweza kununua Excavator mbili na kukodisha.

Wow This is a marvelous Idea.

Nafikiri Tucheki na hii ya Tipa kwanza. Tukipata zile Tipa kubwa Haziwezi lala Njaa.

I cant wait to see how this thing will start.

In any case kama tukifikia Conclusion. Tunaweza pata msaada wa mods tu create List ya watu ambao wako willing Kujiunga in some form of uodates kwenye hii thread.

Baada ya hapo Tunaweza jisajili kama kikundi, Tuakachagua viongozi tukatengeneza na katiba yetu wenyewe.

We have to have some Membership contribution fees not Exceeding 5,000. to aid us in opening a Bank account and other forms of registrations.

Afterwards we open a bank account.

Hapo contribution inaanza right away.

Lets go on guys!!!!

Thanks JF.
 
Back
Top Bottom