laptops for sale

migomigo

New Member
Sep 5, 2009
3
0
Nauza laptops brand new!

Compaq Presario 15.6" AMD Athlon X2 QL-62 2.0GHz Laptop (CQ60-215DX) -
-RAM 3G
-HARD DRIVE 250G
-BUILT IN CAMERA
ANAYEHITAJI TUWASILIANE ZIMEBAKI CHACHE NA BEI NI NZURI
 
weka basi hata mwanzo wa hiyo bei watu wacheki kama wakutafute au wasikutafute na pia itasaidia kwa wale ambao wana watu wanaotaka laptop ila hawapitii humu jamvini kuweza kutoa details za kutosha kwao.
 
mi nahitaji sana lakini hta sijui nimtafuteje na bei wala sijui pia sijui ni used au mpya, ina waranty au haina ina operating system au haina...
 
Nauza laptops brand new!

Compaq Presario 15.6" AMD Athlon X2 QL-62 2.0GHz Laptop (CQ60-215DX) -
-RAM 3G
-HARD DRIVE 250G
-BUILT IN CAMERA
ANAYEHITAJI TUWASILIANE ZIMEBAKI CHACHE NA BEI NI NZURI

Ndugu,
Laptop siyo maandazi; mnunuzi sharti apate technical na cost implication details zote. Tamka sasa.
 
nimeandika ni brand new ni windo vista home primier mwenye kuhitaji aniandkie migomigo11@yahoo.com kwa maelezo zaidi ya laptops na bei.thanks
Duh! naona mkuu umeingia JF bila hodi, hamna tabu Watanzania ni wakarimu kweli. Hebu bisha hodi JF halafu ukaribishwe. Teh teh teh teh.

Hayo mazungumzo baada ya habari hebu turudi kwenye mada/Thread yako.

Ili mteja avutiwe na kitu anachohitaji sharti kwanza akione na aridhike na bei. Vivyo hata wewe unatakiwa kuweka picha ya hizo laptops pamoja na bei zake, yawezekana mimi sihitaji lakini niiona pamoja na sifa zake si naweza kukutafutia mteja anayehitaji?
 
Kinachotakiwa ni kuweka bei. Wewe umesema Laptops for sale halafu hutaki kuweka bei sasa wadau wa JF watanunua vipi kitu ambacho hakina bei. Kwa kawaida bei ya Computer inaendana na specifications zake.

Mimi nahiaji Laptop lakini sio yenye AMD processor. Nataka yenye pentium processor, niambie bei kama unazo!
 
kweli biashara kazi, weka hiyo bei watu wacheki wanaweza kumudu au wakusaidie kukutafutia wateja ambao wanahitaji ila hawapo humu jamvini.
 
mbona umekuwa msiri toa bei kama uko serious mzee wa2 wanataka kweli...aya.....
 
kama unauza kweli wewe weka bei,simu namba na upo wapi,sikuhizi siyo muda wa kufichaficha,ukiweka bei cha kwanza mtu anaangalia kama anaweza kuaford kulipia?la sivyo itakuchukua muda mrefu kuiuza.
 
Nauza laptops brand new!

Compaq Presario 15.6" AMD Athlon X2 QL-62 2.0GHz Laptop (CQ60-215DX) -
-RAM 3G
-HARD DRIVE 250G
-BUILT IN CAMERA
ANAYEHITAJI TUWASILIANE ZIMEBAKI CHACHE NA BEI NI NZURI

kama ndy umachinga wnyewe duh! bei neh! unachoogopa kutaja bei ni nn? au mtu kakautuma kuuza unaogopa umeweka cha juu kikubwa? teh teh
...hum muzee watu wanapenda mtu aliye wazi, ili kabla mtu hajahangaika na kukutafuta anafanya comparison ya bei zako na wauzaji wengine MWEH! karagabaho!
 
acha ushamba mzee hii blog ya watu makini,lakini wewe hauko hivyo maana wadau muda wote wamekutaka utoe bei we um,euchuna tu.Kulikoni mazee..........
Nauza laptops brand new!

Compaq Presario 15.6" AMD Athlon X2 QL-62 2.0GHz Laptop (CQ60-215DX) -
-RAM 3G
-HARD DRIVE 250G
-BUILT IN CAMERA
ANAYEHITAJI TUWASILIANE ZIMEBAKI CHACHE NA BEI NI NZURI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom