Laptop, Smartphone na begi la laptop vinauzwa kwa bei nafuu

ELAFU

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
410
150
Haya sasa jamani sina bei. Nauza laptop aina ya DELL INSPIRON (N5040) yenye Hard disc 400GB, RAM 3, Webcam, Processor 2.53 GHz, charge inakaa zaidi ya masaa 3, haijatumika sana na bado ni mpyaaaa....
Bei 350,000/=
Smartphone ndo hii. NOKIA 310 inayokaa na charge muda mrefu, whatsapp na applications kibao na ofa ya memory card ya 4 GB, touch screen na ipo katika hali nzuri kabisa.
Bei 120,000/= tu
Begi la laptop ni kubwa, jeusi na mikanda imara. Lina muonekano mzuri sana na ni la kudumu
Bei 15,000/= tu!
Mzigo wote upo Dar, na kinauzwa kimoja kimoja; sio lazima ununue vyote
0768932789
0659528724
 
Ukiona mtu anataka picha huyo sio mnunuaji mkuu, hata usihangaike nao
 
Back
Top Bottom