Land for lease in mwanza city centre

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Habari wakuu, kama kuna mtu anahitaji kuinvest in real estate kwa mwanza kuna plot ipo kati kati ya jiji la mwanza na inafaa kwa matumizi ya hotel,commercial propery/offices/shopping mall,,ni ya ku lease so kama kuna mtu yupo interested ani pm
 
Back
Top Bottom