Laiti picha za makazini zote zingewekwa nyumban ndoa nyingi zingekua icu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
ANGALIA KIJANA ANAMVUTA MWENZIE KAMA MKEWE KISA AFISA MWENZIO MMHHH
download+%252839%2529.jpg
 
Mbaya zaidi angalia hupo mkono wake wa kulia anamgusissha wapi jamani we kijana weyeeeeeeeeeeeeee
loh haya asbh njema basi
 
Hapo ni afisa muendeshaji mkuu wa nbc akibadilishana mawazo na mkuu wa mauzo kitengo cha makampuni sasa mawazo gani weye afisa unaongelewa mkononi wakati ungesema kwa mdomo bibie angesikia safiiiiiiii kabisaaaaaa mbona unakuwa na vituko kama kibonde bana
 
Na macho umeanza kulegeza hata kabla ujanywa bia jamani mkeo ashawahi kupata bahati ya jicho kama hilo???
 
Watu wagombanishi jamani!! kwenda kuwaanika namna hiyo humu ndani ndio nini.....mmmh!

:focus: ...weel,ni kweli kabisaa maana maofisini watu wanaitana majina mbalimbali ya kimapenz..kushikana ni vitu vya kawaida sana.
 
Aisee halafu check huyo dada amevaa kimitegotego vile yaani huyo hachelewi kutoa mavitu kwa ofisa mwenzake
 
Hivi mwenye mume/mke huyo akiiona picha hiyo hapa jf utasema nini wewe uliyeituma? acha hizo bwana uhuru mwingine unaweza kusababisha ndoa za watu kuvunjika jamani kuweni makini
 
umbea tu huuu,,,,kwani picha hii inaubaya gani......! wewe hujawai ona picha ya president anacheza na waziri wa kike???? mbona wabongo mambo madogo mnayakuzaaaaaaaaaaa...!

picha hii inatatizo gani
 
Mbona kawaida sana? Sasa siku mkeo anakuwa picked kwa safari ya mwezi mikoani na huyu jamaa, tena hawana driver. Wanaenda kukaa gesti moja, si utamuambia mkeo achague kazi au ndoa? Na makazini picha sio mbaya kama ule utani wa 'hunny bunny'. Wewe muamini mwenzio anaelewa mipaka, yatosha kufurahia maisha!
 
Hivi mwenye mume/mke huyo akiiona picha hiyo hapa jf utasema nini wewe uliyeituma? acha hizo bwana uhuru mwingine unaweza kusababisha ndoa za watu kuvunjika jamani kuweni makini

Yaani...tena kama picha haitoshi na vyeo vyao huko makazini...mmmh,jamaani!!!
 
Hapo ni afisa muendeshaji mkuu wa nbc akibadilishana mawazo na mkuu wa mauzo kitengo cha makampuni sasa mawazo gani weye afisa unaongelewa mkononi wakati ungesema kwa mdomo bibie angesikia safiiiiiiii kabisaaaaaa mbona unakuwa na vituko kama kibonde bana

Kibonde anavyofanya sio vituko bali ni utahahira
 
Hivi mwenye mume/mke huyo akiiona picha hiyo hapa jf utasema nini wewe uliyeituma? acha hizo bwana uhuru mwingine unaweza kusababisha ndoa za watu kuvunjika jamani kuweni makini

Ndo vizuri ili asirudie tena na iwe fundisho kwa wenye tabia kama hii
 
Wenye tabia kama hizi wajirekebishe na kuheshimu ndoa zao sio kwamba kila mwanaume/mwanamke unakutana nae unampaparatikia tuu
 
Back
Top Bottom