Ladies: 12 reasons why you should date/love a 'Doctor'!

inaaminika kuwa lawyer wengi ni 'so bad in bed'
kwa kuwa wanajiona wanajua kila kitu....
yaani kuna mpaka jokes nyingi kuhusu lawyer na hilo jambo...lol


Hilo la bed mkuu ni siri yao ila hayo mengine yanakubalika
Hilo la bed ni kwa kila fani wanasema isipokuwa tuu msukuma mkkoteni huyo hana utani
 
Na hapa ni kwa wanasheria ni lazima uwakubali tuu lol


1) We are VERY good with our tongues
2) We LOVE dressing up
3) We will protect you (even if you're wrong)
... 4) We are ****ing minted
5) Our profession requires us to be on the job for up to 3 weeks!!!
6) With our degree, we can get into almost every position
7) We never cheat
8) Whatever the situation, WE CAN GET YOU OFF (that is how we are )
Hahaha!! Umenikumbusha kuna lawyer alikuwa alikuwa anataka kufungua kampuni ya IT, he called me for an advice so nikamuuliza are you going to be a lawyer for your own company akasema no i will hire one nilicheka sana
 
hahaha!! Umenikumbusha kuna lawyer alikuwa alikuwa anataka kufungua kampuni ya it, he called me for an advice so nikamuuliza are you going to be a lawyer for your own company akasema no i will hire one nilicheka sana
makauzu kweli kweli bana loh?
 
Hahaha!! Umenikumbusha kuna lawyer alikuwa alikuwa anataka kufungua kampuni ya IT, he called me for an advice so nikamuuliza are you going to be a lawyer for your own company akasema no i will hire one nilicheka sana

huyo hana maana kabisa
Ila haimsumbui he can be a director and the same time a company secretary japo hairuhusiwi
 
hao wanaowafanya walie sio wanasheria halisi maana unaona hapo kabisa We never cheat na nikikupania nakupata

Kila saa mpo bize tu na mapenal code mkononi hata mkikumbatiwa hamtaki eti mtachafua suti zenu na hayo mashati yenu meupe!! Lol........nawaaminia kwa kuchimba mkwaraaaa!!
 
kila saa mpo bize tu na mapenal code mkononi hata mkikumbatiwa hamtaki eti mtachafua suti zenu na hayo mashati yenu meupe!! Lol........nawaaminia kwa kuchimba mkwaraaaa!!
ulshaona eeeh bize 24hrs loh?
 
Back
Top Bottom