Ladha ya uchachu ya baadhi ya mafuta ya alizeti

Idrissou02

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
354
646
Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
 
Hayo mafuta yako yameoza au kwa kiingereza rancid. Hutokea kwa yale mafuta yanayouzwa au kuwekwa kwenye jua. Epuka kuyatumia kwa kuwa yana madhara makubwa kiafya
 
Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
Yumkini hiyo alizeti ilihifadhiwa ikiwa bado haijakauka vizuri na kupelekea fermentation process kuanza kutokea wakati ikiwa imehifadhiwa.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nunua mafuta safi double refine bei imechangamka ila ni mazuri achana na hayo ya kukamua majumbani
 
Yumkini hiyo alizeti ilihifadhiwa ikiwa bado haijakauka vizuri na kupelekea fermentation process kuanza kutokea wakati ikiwa imehifadhiwa.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Well said. Mim pia ni mkulima mdogo. Nilipata gunia kadhaa mwaka jana lakin sasa nimeenda kukamua yaan chakula chake hauwez kula. Yanaleta test chungu sana kwenye chakula.

Lakin nawaza mara mbili mbili sababu nilianika kabla ya kuhifadhi na huku ni ukanda wa joto sana, sasa sjui tulifeli wapi maana imekua kilio cha wengi
 
Back
Top Bottom