Laana? Mkutano wa CCM wasambaratishwa na nyuki

MNG

Member
Oct 17, 2012
51
39
Mkutano wa CCM wilaya ya Meatu umesambaratika baada ya nyuki kushambulia na kujeruhi watu wakiwamo viongozi wa CCM wilaya hiyo na wajumbe wa NEC.

Ndo tuseme ni laana au ni nini?mpaka wanyama na wadudu wanaichukia CCM,hakika CCM kifo chao kinakuja.

Source:Habari star Tv.
 
Usishangae wale vilaza wa Lumumba kama Nape na Mwigulu wakaja hapa kudai wale nyuki wametumwa na CHADEMA.
 
  • Thanks
Reactions: MNG
Nimecheka badala ya kusikitika nyuki walivyomng'ang'ania gamba mmoja mpaka wenzie wakajitahidi kumuokoa...!!!!!!!!!
 
Mwigulu atasema anao ushahidi wa cd chadema wakiwashawishi nyuki
Kamanda Kova naye atadai hizo CD zinazodaiwa kuonyesha viongozi wa CHADEMA wakiwachawishi hao nyuki ameshakabidhiwa na Mwigulu ila kwa sasa jukumu la kuchunguza amempa DCI Manumba na muheshiwa rais Kikwete atalizungumzia kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi.
 
Pinda alipewa ufalme wa nyuki kusudi kuwashawishi nyuki waone kuwa ccm inawajali
 
Kamanda Kova naye atadai hizo CD zinazodaiwa kuonyesha viongozi wa CHADEMA wakiwachawishi hao nyuki ameshakabidhiwa na Mwigulu ila kwa sasa jukumu la kuchunguza amempa DCI Manumba na muheshiwa rais Kikwete atalizungumzia kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi.

na rais atasema anasubiri ripoti kutoka kwa manumba ambaye kahamishiwa india kwa matibabu, kaaaazi kweri kweri!!!!!!
 
Uchunguzi nao utaonyesha jinsi Pick Up ilivyokuja na kupaki eneo la Tukio likiwa na mizinga kumi nyuki ndipo nyuki hao walipo walipoamriwa kuwauma vingozi waliokuemo..
Source; Mwema
 
Nyuki hao wana mkono wa chadema maana walijua leo wangelisambalatishwa na viongozi makini wa CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
  • Thanks
Reactions: MNG
FFU wlikua wapi?.hahahahahahaaaaa! nimeipenda sana hii! sikuizi tutaanza kusema adui mwombee nyuki, na sio njaa. teh teh
 
  • Thanks
Reactions: MNG
mkutano wa ccm wilaya ya meatu umesambaratika baada ya nyuki kushambulia na kujeruhi watu wakiwamo viongozi wa ccm wilaya hiyo na wajumbe wa nec.

Ndo tuseme ni laana au ni nini?mpaka wanyama na wadudu wanaichukia ccm,hakika ccm kifo chao kinakuja.

Source:habari star tv.

kweli wana hali mbaya yani nata wadudu wanajua kuwa ccm wana dhambi?kweli 2015 hawaponi.
 
  • Thanks
Reactions: MNG
siwangevaa nguo za CDM maana zile hazina marashi ya wale kina mama wambeawambea wenye masaburi makubwa wanao zunguka toka Dar!
 
Pinda anasema akistaafu anaenda kufuga nyuki! amesha umwagwa na nyuki kweli huyu mzee? mii nahisi akiumwa na nyuki hata mmoja anaahirisha hili zoezi la ufugaji nyuki!
 
Back
Top Bottom