La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

jerry joshy

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
402
504
Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
 
Cjui Kama ina uhakika na taarfa yako hii Coz Lachaz me hupendelea kukaa kwasbb kwanza kuna Madem wakali pale ni sehem ya kuwinda lkn pia ni kwasbb ya new location pale so watu weng hupapenda ila kuhusu mashoga naamin kla mahala huenda na kukaa wengne hukaa pale kwa kuwinda Madem..... fanya tena utafit halaf Uje na mifano hai
 
Back
Top Bottom