KYETUEPLER: Sayari pacha na Dunia yetu

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Umbali wa miaka 100 ya mwanga kutoka duniani kwetu tunakutana na eneo lengine la makazi yanayofanana na kwetu namaanisha duniani kwetu sayari lenye muonekano na tabia zenye mfanano na dunia yetu

Baada ya chunguzi mbalimbali za muda mrefu hatimaye shirika la anga za mbali nasa limefanikiwa kutambua uwepo wa sayari nyengine pacha wa dunia yetu ambayo inazunguka nyota ndogo red dwarf kama nyota yake mama ambayo ndio chanzo kikuu cha uwepo wake katika eneo hilo huko

Kuna miamba kwa zaidi ya 95 % ya eneo lake na inakwenda kuungana na sayari chache zilizowahi kugunduliwa katika eneo hilo kama utakumbuka baadhi ya sayari zilijulikana kama Kepler na vilevile hata sayari hii imepewa jina la Kepler TOI 700e , Jina litatumika kwa muda wote wa chunguzi

Baadhi ya chunguzi zinasema kwamba sayari hii huzunguka Nyota yake kwa siku 28 yaani ni kama dunia yetu inavyofanya mzunguko katika nyota yake kwa siku 365

Moja ya sayari ambayo wanasayansi wengi wanadhani pengine kunaweza kuka wa na maisha ya viumbe wengine ambao wanaweza wakawa tofauti na sisi au wakafanana na sisi katika eneo hilo

Bado haijajulikana kwakuwa magimba kama haya huwa yapo katika umbali mkubwa sana kiasi kufikia ni zaidi ya mia ka mingi mingi sana ya vizazi na vizazi

kwa kutumia Chombo cha Transiting exo planet survey satellite ndio kilichofanikisha upatikanaji na ugunduzi wa sayari hii huko anga za mbali

Moudyswema
Gerald
geraldchristopher1@gmail.com

FB_IMG_1673643295855.jpg
 
Back
Top Bottom