Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

Nuoxian

Senior Member
Mar 15, 2020
169
237
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lakini sisi mashabiki wa Simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
 
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lkn sisi mashabiki wa simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
Kwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiwe
 
Kwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiwe
Tusubiri mechi ijayo tuone itakuwaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom