Elections 2010 Kweli tarime kiboko!

wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?

Kwani hata huko Tarime walichakachua Matokeo au? Maana navyowajua hao wana Tarime Mtu wanae mtaka ndie huwa wanampigia kura sasa kama walilazimisha apewe mwingine basi ita leta shida sasa na NEC jama muwe makini hii nchi ni ya wote msibague mtu anaetakwa na wana Tarime na kama upinzani wakiongoza majimbo bado pia ni watanzania wale wale atawaongoza

 
Apewe ulinzi wa nini?mwizi alindwe? ah waacheni wadai haki yao wale walio makini wasiokubali upuuzi.Warudishe heshima.Huu woga utatufikisha pabaya
 
Natamani saaaana niwachape viboko mwenyewe kwa Mikono yangu MAKAMBA, JAJI MAKAME, KIRAVU, MAHANGA, MKAPA. hawa watu wanaichafua Tanzania yetu. Au wapelekwe tarime waachiwe katikati ya Wananchi wenye HASIRAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

Mkuu Chimunguru, tafadhali kny list yako ongeza Riz1
 
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?

Mliambiwa kuwa kura hazipigwi na Wahariri wa magazeti, mkajifaya VIZIWI. Mkaonyeshwa kuwa kujaza mikutano ya kampeni siyo upigaji kura mkajifanya VIPOFU. Sasa ikija kwenye kukubali ukweli mnajifanya MABUBU. Endeleeni umbumbumbu wenu wa kisiasa!

Kelele zoooote sasa hivi watu wote :tape:!!!!!
 
Nawasihi wana TARIME WAYATEKELEZE HARAKA, tumechoka kudanganywa. Ni majimbo mengi kura zimechakachuliwa ili wagombea wa CCM washinde. Usalama wa taifa wameshiriki sana kwa kiasi kikubwa ili kuibeba serikali iliyopo madarakani.:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
mliambiwa kuwa kura hazipigwi na wahariri wa magazeti, mkajifaya viziwi. Mkaonyeshwa kuwa kujaza mikutano ya kampeni siyo upigaji kura mkajifanya vipofu. Sasa ikija kwenye kukubali ukweli mnajifanya mabubu. Endeleeni umbumbumbu wenu wa kisiasa!

Kelele zoooote sasa hivi watu wote :tape:!!!!!

nahisi u sehemu ya watu wachache wanaofaidika na ufisadi unaoendelea katika serikali hii. Au uwezo wako wa kuchanganua kati ya mema na mabaya ni mdogo sana. Wan wa rombo ndio wametua mfano elekezi mramba out of system labda atumie back door kwa kuteuliwa na rais.
 
Kama kawaida tutawapelekea,kikosi maalum,mwanzo hawana mvuto wakitanzania,2nasifika na tabia ya ustaarabu,uraiya wao nina hatihati nao,baada ya Mheshimiwa kuapishwa,we have to do vatting kwa jimbo la Tarime,nahisi wakimbizi wanataka kuharibu jina letu
Hivi we ****** nikikutukana utasema nakuonea, Upupu wako peleka hukohuko Bumbuli. Hii Nchi sio ya baba yako wala mama yako Huwezi kuwaita wakurya sio Raia.
We kama nani?!. Mtu akidai haki yake basi sio Raia. Rasilimali za taifa pamoja na kodi zetu ndio zinazo wapa Kiburi?. Majuha nyie mnakimbilia kikosi maalumu njooni wenyewe si mnamiliki green'guard. Karibuni Tarime Tuwaonyeshe jinsi mwanaume anavyo Tahiriwa.
 
Kama wamesema kweli; WATAFANYA! Kuna uchaguzi ccm ili ForceKing miaka ya nyuma mkoani mara. Wananchi wakamwambia HUTOTUONGOZA mbunge. Na kweli haikuwezekana. Watoto wake walianza kupelekwa na ffu shuleni, kanisani na hakuweza kuendelea na ubunge.
Mkuu unaona mbali..........hawa jamaa wala hawana sababu ya ku-deal nae, wao watashughulika na familia na ndugu wa karibu!! kama kuna ambaye hana macho, basi apapase!
 
Back
Top Bottom