Kweli Nchi Imeuzwa!

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
Kwa mwenye busara na hekima...hana haja ya kufanya uchunguzi KULIONA HILI. Nchi yetu Tanzania imeuzwa sasa ni HAKIKA. Yanayotokea sasa ni kumalizia walioiuza nchi. Hivi kweli na matatizo haya yooootee, kweli Rais anathubutu kwenda nje ya nchi na kuacha kusaidia wananchi wake....angalia mawaziri wetu wanavyotenda sasa!!! Ni aibu kweli kweli.

Angalia wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe (mfano Sitta katika kipindi cha Dkt 45 ITV)

Angalia upumbavu wa Kamanda aliyezuia maandamano ya AMANI eti kwa kisingizio cha ALSHABAB!!! This is stupid! Anataka kutuambia nchi yetu imevamiwa na hao magaidi???? Ni kweli??

Yaani kila inayoitwa LEO, kila kiongozi anaamka na kuropoka lake!!!
 
nafikiri itabidi ahakikishe mechi ya simba na Yanga anaisitisha pia manake bila hivyo hataeleweka
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nashauri na Bunge la Novemba liahirishwe maana al-shabaab watalipua pia,mkutanao wa NEC ya CCM nao uahirishwe coz baadhi ya wajumbe ni al-shabaab wasije wakajilipua,kama viongozi kweli tunao!
 
[h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.

Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.

Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.

Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi

ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
 
sisi hatuna ulinzi wowote ule, kama hao al shabaab wangetaka kufanya lolote lile wanaweza.

Nimetembelea kenya muda fulani wale jamaa wapo vizuri maana sehemu zingine huwezi kuingia mgeni bila passport au muda mwingine wakuzuie kabisa, je hapa bongo lipo hilo, mathalani pale kariakoo watu wanavyofurika hawawezi kufanya mashambulizi mpaka waende kwenye maanadamano?

Mbona zipo sehemu kibao kuna mikusanyiko ya kufa mtu mfano kule tanzania packers kwa mzee wa misukule vipi nako wamemstopisha?

by the way hawa jamaa wako equipped na organized wanaweza fanya lolote lile wakitaka.
 
Kova ana maanisha kwamba serikali haina uwezo wa kuwalinda raia wake wasishambuliwe.mi nlitegemea kwa kuwa kuna hali kama hiyo wangezidisha ulinzi.kama ndivyo watu tusiende kaliakoo,tusipande daladala,tusiende miskitini na makanisani.mimi sikubaliani na mawazo ya kova na washauri wake.mia
 
tulipoenda kupiga kura vipaumbele vilikua Rangi ya Kijani, sura nzuri na chama cha kihistoria, tukisahau maswala muhimu kwa Taifa hili.
CCM woote wamepoteza haki ya kulalamika, kwakua walichangia kutuletea huyu Bwana kutoka msoga , kwa kutizama vigezo vya muda mfupi na mahitaji ya kujaza matumbo yao kuliko taifa letu.
download
 
Tusimame tusikate tamaa,wamekwisha .mwisho wa mafisadi ni huu.jamani tumefika kileleni tusikate tamaa,mnaona wanagombana wao kwa wao tujitahidi kuwamaliza sasa.
 
majukumu ya Rais unayajuwa? mwache atembee awafahamu na hao wanaokuja kuwekeza wanaaminika vp nchini mwao, cyo kuja na anwani tuu hapa halafu tunaibiwa, embu na wewe kaa tuu nyumbani na utoe maelekezo ya kazi yako ukiwa kwenye sofa ama kwenye bao uone kama familia haijahamia kwa jirani,, kuhusu mzee six naye amezidi kulialia sana aonyeshe njia cyo kulia na majina ya watu , Hamuoni Wasira anavyochana hoja na kupambanua matatizo ndani chama chake na serikali?. Tuweni makini 2015 itafika tukiwa hatuna majibu ya matatizo yetu.
 
Jamaa yetu wa Msoga yuko buzy na kuzitafuta ofa za suti,hana habari kabisa na nchi yake sijui anatafuta na nchi ya kuhamia?
 
Kwa mwenye busara na hekima...hana haja ya kufanya uchunguzi KULIONA HILI. Nchi yetu Tanzania imeuzwa sasa ni HAKIKA. Yanayotokea sasa ni kumalizia walioiuza nchi. Hivi kweli na matatizo haya yooootee, kweli Rais anathubutu kwenda nje ya nchi na kuacha kusaidia wananchi wake....angalia mawaziri wetu wanavyotenda sasa!!! Ni aibu kweli kweli.

Angalia wanavyogombana wenyewe kwa wenyewe (mfano Sitta katika kipindi cha Dkt 45 ITV)

Angalia upumbavu wa Kamanda aliyezuia maandamano ya AMANI eti kwa kisingizio cha ALSHABAB!!! This is stupid! Anataka kutuambia nchi yetu imevamiwa na hao magaidi???? Ni kweli??

Yaani kila inayoitwa LEO, kila kiongozi anaamka na kuropoka lake!!!

wambie boss tumeisha piga kelele mpaka vichwa vinauma kazi wawape tunguli .
 
Kama imeuzwa mbona bado waishi ndani yake kwann usiondoke uende ukohisi hawajauza nchi yao.
 
Jamaa yetu wa Msoga yuko buzy na kuzitafuta ofa za suti,hana habari kabisa na nchi yake sijui anatafuta na nchi ya kuhamia?

Gaddaffi alikimbilia kwao SIRTE lakini wanaume walivyokuwa na usongo nae wakamfuata huko huko!!
 
Back
Top Bottom