Little John
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 215
- 66
Ndugu zangu wana JF, nimeisoma habari ya mama aliyejifungua watoto watano kwa mara moja mwili wote ukasisimuka nikajua kweli hayo ni mapenzi ya Mungu lakini zaidi sana mimi binafsi ningetamani sana uzao wangu wa kwanza ningepiga hivyo ndio ingekuwa basi tena hiyo but ninabaki kusema hayo ni MAPENZI YA MUNGU na alipendalo yeye ndilo linatimia.