Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli manutd wana gundu!

Discussion in 'Sports' started by ndyoko, Apr 10, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,693
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as if nothing happened'.

  Hakuna anayeongelea hili, BBC Sport - Wigan Athletic boss Martinez receives apology from Riley. Heu dokonyolea macho hapo halafu niambie!
   
 2. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,227
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 63
  tushazoea mkuu!chelsea juzi wamefunga wachezaji "mia" walikuwa offside!watu wamepiga kimya tu!

  nadhani sababu kuu ni kwa sababu Man utd mwisho wa siku huchukua ubingwa!
   

Share This Page