kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
ujio wa huyu g,ha,ha......njoo maximo wewe ndio uliinua mpira wa bongo
Kocha gani mroho wa vicheche?
ujio wa huyu g,ha,ha......njoo maximo wewe ndio uliinua mpira wa bongo
Binafsi simkubali aje timu yangu..ni kocha mbishi na asiyejua kusamehe
Nasema kocha Macio Maxicimo unanifurahisha sana yani kumbe hata uwezo wako ulikuwa wachini??kwenu nikocha waligi daraja la pili??!!Ukaja hapa ukawa kocha wa timu ya Taifa la Tanzania ukilipwa Mshahara wa Milioni 30,Gari,nyumba na marupurupu kedekede!!Ina maana Tanzania haina washahuri wa soka?
Leo hii unalilia kuifundisha YANGA!! Na hii migogoro ya vilabu unaijua fika na wewe umekubali?ama kweli Njaa haina Bouncer !!
Kesho tutakukuta kwenye kombe la kinesi............kila laheri Macio Maxicimo.....

'Kila afanyalo Yanga na Simba nao wanafanya' kwa staili hii tusubiri Simba nao kupigwa tano.Wewe ulitaka akafundishe wapi? kabla ya Taifa Stars alishafundisha Scotland. Subiri Simba wanamnyatia Jan Pouslsen. Maana kila afanyalo Yanga nao wapo. Alikuja Papic wao wakaleta Mserbia mwingine!
hapa kunaharufu ya ten percent.....Nasema kocha Macio Maxicimo unanifurahisha sana yani kumbe hata uwezo wako ulikuwa wachini??kwenu nikocha waligi daraja la pili??!!Ukaja hapa ukawa kocha wa timu ya Taifa la Tanzania ukilipwa Mshahara wa Milioni 30,Gari,nyumba na marupurupu kedekede!!Ina maana Tanzania haina washahuri wa soka?
Leo hii unalilia kuifundisha YANGA!! Na hii migogoro ya vilabu unaijua fika na wewe umekubali?ama kweli Njaa haina Bouncer !!
Kesho tutakukuta kwenye kombe la kinesi............kila laheri Macio Maxicimo.....
Mkuu kwani Maximo anakuja simba?si anakuja yanga au?Binafsi simkubali aje timu yangu..ni kocha mbishi na asiyejua kusamehe
Lakini Maximo si alitoa msaada wa kutosha mpaka tukapata wachezaji wa kulipwa nje ya nchi?Sasa wewe unaona mwenye makosa ninani?mi naona uongozi wa nchi yetu ndio unamatatizo na huyo ni Jk manake si yeye ndiye aliyetuahidigi kocha then akamleta huyo maximo kwa mbwembwe zakutosha?
Mkuu nilipigwa bann ila leo nimetoka kifungoni!!!..........Sasa umesikia Macio Maximo kasema hawezi kuja kufundisha yanga hajafikia uwezo wake kisoka haujaporomoka kiasi hicho wazee yanga wanatafuta mchawi.....YANGA BWANA MNAFURAHISHA!!!:wink2:Nilitaka ku comment ila nimeona una Ban ni jibu tosha.