Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 286
- 583
Yohana 17:17 Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.
Kweli ni neno la Mungu na hiyo kweli itakuweka kuwa huru
Yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Kama unatabia ya kuangalia picha za ngono au kujichua ujue wewe na MTU afanyaye uzinzi mko kundi moja wote mnafanya uzinzi
Mathayo 5:28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Unapofanya masterbution kinachokufanya ufanye hicho unachokifanya Kwanza unakuwa na hisia Kwanza ili uweze kufanya unachokifanya ndio maana wengi ambao wanafanya masterbution pia wanaangalia na picha za ngono na Biblia inasema ukimwangalia mwanamke/mwanaume ukamtamani moyoni mwako umekwisha kuzini ina maana yoyote ambaye anafanya hicho kitendo ni mzinzi
Madhara ya Masterbution na picha za ngono
A. Uharibu hakili
Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo, litakalomwangamiza nafsi yake.
Kuna MTU mmoja alifukizwa kazi Kwa sababu alikuwa kwenye kikao kikubwa cha ofisi na akashikwa na hamu ya kupiga puyeto akaacha akaondoa kwenye kikao ambacho ni kikao cha muhimu kweli kwenye kazi yake akaenda chooni kupiga nyeto na ukapelekea kufukuzwa Kazi ?
Ebu fikiria Uko kwenye kikao cha ofisi cha muhimu Sana wenzako wako busy wanajadili kazi wewe uko unatazama picha za ngono? Una hakili kweli?
Nenda kwenye uchimi watu WA namna hii hata uchimi wao hauko vizuri , utakuta MTU anafanya kazi nzuri na analipwa pesa nzuri lakini Hana kitu maana yake ile hakili ambayo angeitumia kwa ajili ya kujiletea maendeleo imeharibiwa na picha za ngono hawezi kuzitumia vizuri
B. Unajiungamanisha na majini mahaba
Watu ambao ni watazamaji WA picha za ngono wanajikuta wanasumbuliwa na ndoto za uzinzi na uasherati, Kwa sababu uzinzi unakwenda moyoni na roho yoyote ya Mungu ya Shetani inakuwa moyoni , MTU anayetazama hizo picha anafungwa na majini mahaba ndio maana hawezi kuacha na anafanya Mambo ambayo hayafai
Hivi unaskia MTU anafanya masterbution ofisini au unaskia Mtu anafanya kila siku yaani hawezi kulala bila kufanya masterbution hiyo sio Jambo la kimwili ni la kiroho, kuna roho nyuma yako inakusukuma kufanya unachofanya
Waefeso 3:17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;
C. Unatengwa na Mungu
2 Timotheo 3:8 Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.
Watu ambao wanafanya vitendo vya kutazama picha za ngono na kufanya masterbution , mioyo Yao inamwondoa Mungu katika nafasi yake na kumwingiza shetani katika mioyo Yao na katika akili Zao na mwishoe hata kama MTU huyo anakwenda kanisani kila siku siku zote anapingana na neno la Mungu
Madhara makubwa Sana kwa Mkristo ni kutengwa na Mungu , anakosa msaada Kwa sababu ni watu ambao ni wabishi wanadharau maandiko sio kwamba ni wao ni roho iliyoko ndani Yao inawafanya mateka na kuwazuia wasijue kweli
Warumi 6:16 Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii, kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao haki.