Kweli CHADEMA Kiboko, CCM Kimyaa, Kama Sio wao

Bado wanachunguzana waanzilishi wa CCJ, maana Nape anasadikika ni kada wa CCJ.... ha ha haaa... ama kweli chadema ni strategic thinkers, hawa tukiwapa dola tutaendelea maana wameonyesha tabia ya kutumia ubongo wao kufikir as opposed to CCMi. kwahiyo wakihamisha huo uwezo kwenye mambo ya kulijenga taifa wakiwa na dola, umasikini kwaheri Tanzania. Dah! hii topic imenifurahisha!

Bado kuna mengi sana, CDM just need to press the button:pound:
 
Hapa ni sehemu ya faraja tupu, baada ya uchaguzi tuliamua rais wetu ni slaa, na sasa tunajifariji.
 
Huu sio muda wa ccm au chadema kubishana, ni muda wa kuwaletea wananchi maendeleo na sio siasa zisizo na tija kila kukicha.
 
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.

Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja zinazokubalika na wananchi wa kila rika. Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, CCM wameamua kutumia nguvu ya DOLA.

Mwenyekiti, Katibu na Mpiga porojo wao wanaonekana kuchanganyikiwa namna mambo yanavyoenda. Madogo (UVCCM) nao wamekuwa wakali utadhani wamevutishwa bangi ya Msukule huku kila kundi likitoa matamko ambayo hayana tija kwa amani ya Chama.

Nao CCM B imekuwa vurugu tupu, sijui na wao wamechukua katabia ka kaka zao, naona wameanza kuvuana magamba hadharani.

CCM A na B wamechoka kupambana na CDM, iliyobaki ni kuchapana viboko wao kwa wao mpaka kieleweke, CDM wao ni kupulizia tu na kusubiri Viherehere wengine wajitokeze.

Lo, My Gooooooood!!! Tutafika kweli. Kwa yeyote anayeona bila biasness CHADEMA peke yake imebakia kuwa Chama Imara katika wakati mgumu. Wananchi tunaona.

Kweli Chedema mnatukuna Jamani, CCM Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.

Hebu nikumbushe Rais wa JMT anaitwa nani vile ? (10% marks), Amiri jeshi mkuu wa Tanzania ni nani ? (10% marks), Chama kilichoshinda uchaguzi na kupewa ridhaa ya Tanzania ya kutawala (10% marks), Chama chenye wabunge wengi ndani ya Bunge la JMT (10% marks). Baada ya kujibu hayo sahihi ndio utajua nani kiboko
 
Lakini hayo yote si ya maisha halisi? Sisi tunazungumzia ndoto bana. CDM kiboka bana.
 
ukweli ni kama mafuta na maji ,wapo ambao hawaoni kuwa wepo wa cdm umesababisha mambo mengi kufahamika ukiwemo na ufisadi,mwanzop ccm walibisha lkn saiv wanavuana magamba ,wananyoosheana vidole,kweli mfamaji hutapa
 
m2 wangu unastahili hongera kwani sasa hakuna kuaminiana kwa sasa ndani ya ccm kila atakayekudhubutu anazimwa sio na upinzani bali na ccm wenyewe chadema wao wanalipua mabomu na kutulia atakayeleta kiherere ananasa kweli chadema noma

inawezekana ndani ya CCM kwa sasa kama baba na mama ni makada, basi hiyo ndoa iko kwenye hati hati maana unaweza usijue mkeo au mumeo yuko kambi gani
 
Wameamua kukaa kimya baada ya kuona wanabishana na mwendawazimu,hapo mwanzo walifikiri ni watu timamu kumbe ni wavuta bangi wanaochochea vurugu.hongera ccm acheni kubishana na hao watu wa vurugu.pangeni sera za ushindi 2015.

Bora wavuta bangi wanaotuambia madudu mnayofanya kuliko ninyi wapumbavu mnaotubia.
 
Ndg yangu unafikiri hii nchi itakuja kuongozwa na chadema mnajidanganya,cwezi kupoteza kura yangu hata mara moja kuwapa chama ambacho kazi yake ni kuchochea vurugu,kuweka ukabila na hata udini,mnatamani kumuondoa zito wakati wowote tu kwa uchu wenu wa madaraka,jamani mnataka kuingia ikulu ili muigeuze tz kwenye shida ya njaa pamoja na vita vya makabila,poleni sana CCM OYEEEEEEE KUELEKEA 2015
 
kwanza nataka mjue CCM ITASHINDA UCHAGUZI WA 2015 bila wasiwasi wowote ule jueni hilo...................na mkiendelea kustaajabu ya Musa mtayaona ya CCM kurudisha majimbo ambayo mmekopeshwa na CCM, kwa lipi hasa ambalo litafanya muishinde hiyo CCM ya akina NAPE,MAKONGORO NYERERE, MAMA NSILA SWAI, SITTA, KIKWETE, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, JANUARY Jr, MNCHEMBA, SALIM AHMED SALIM, MSUYA CLEOPA, KINANA, CHILIGATI, MUKAMA sijui nyie CDM NA WENZENU WOTE MTAPITIA WAPI? nikiwa mwananchi wa kawaida mjipange kujibu hoja za wananchi.

-wakati mnaota kuingia IKULU mnaswali kutoka kwa wananchi kuhusu maafa yaliyotokea ARUSHA, wakati mnatamani kuingia ikulu tutawauliza mnchokiamini nyinyi kama CHADEMA ni kipi na kukisimamia? leo mnatapeliana wenyewe kwa kununua magari yenu chakavu kwa bei ya kubwa na wakati huo chini ya pazia mnataka serikali ya CCM ibadilishe sheria kununua vitu cha kavu, hilo halipo na halitakuwepo, leo mnatumiwa na akina LOWASA/ROSTAM AZIZI, ANDREW CHENGE kuimaliza CCM , HIVI MNAFIKIRI MTABAKI SALAMA KWELI NYIE?

-FREEMAN HAIKAEL MBOWE anakaa vikao na LOWASA EDWARD ili kummaliza Jakaya kikwete na familia yake halafu mtuambie mnaweza kuiongoza Tanzania, kwa taarifa yenu washakaa vikao viwili wananchi hawashangai TANZANIA DAIMA INAVYOFANYA KAZI muda huu ni makubaliano ya MBOWE NA LOWASA hayo...........yanafanya kazi, LOWASA huyu ambaye mwalimu Nyerere alishamkataa katika vikao vikao vikubwa vya CCM nampa changamoto Mbowe na Dr Slaa wapinge hili kama Kambarage hakuwahi kulisema, Nyerere alienda mbali zaidi na kumwita MWIZI, AKASEMA NCHI YAKE HAIWEZI KUONGOZWA NA WEZI? alimuuliza swali LOWASA. NANUKUU ehhh EDWARD TUMEKUTOA JUZI UVCCM UTARIJI WAKO UMEUPATA WAPI? swali hili alimuuliza EDWARD 1995 KATIKA VIKAO VYA CCM na ikabidi lowasa achomoe form yake kinyang'anyiro cha uchaguzi 1995, Ben Mkapa akaingia IKULU..(1995-2005).

-CHADEMA mnakazi kubwa sana katika kufikiri mnachokiwaza waTanzania sio MAJUHA KWA KIASI KIKUBWA haraka haraka wakawachia mUingine IKULU , HAKUNA UPINZANI NJE YA CCM , KUNA HARAKATI NJE YA CCM, UPINZANI WA KWELI UKO NDANI YA CCM KATIKA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO. chadema inawezaje kuleta maendeleo ya kweli kwa waTanzania wakati muasisi wa chama hiki aliisaliti Tanzania kule IMF NA WB akadiriki kuchana file la Tanzania kuhusu thamani ya pesa yake? iweje leo awe mzalendo sana na wakati huo alishindwa kuwa mzalendo?..........huyu ni mnafiki na mzandiki hafai wala alichokianzisha hakifai kupewa hadhi sawa sawa na CCM, naendelea kuamini bado chama chenu kinakazi kubwa katika kupambana na CCM.

-MNAMAJIMBO MLIYOYAPATA 2010, lindeni hicho mlichonacho mkiendelea kupata yote kwa pupaaaa.........mtakosa yote kwa kupa.

Kwa mtu mwenye akili timamu kuweza kukaa mbele ya key board na kuandika upupu huu inabidi uwe na moyo wa mwenda wazimu.Lakini ndiyo hivyo ili mkono uende kinywani.
 
Ndg yangu unafikiri hii nchi itakuja kuongozwa na chadema mnajidanganya,cwezi kupoteza kura yangu hata mara moja kuwapa chama ambacho kazi yake ni kuchochea vurugu,kuweka ukabila na hata udini,mnatamani kumuondoa zito wakati wowote tu kwa uchu wenu wa madaraka,jamani mnataka kuingia ikulu ili muigeuze tz kwenye shida ya njaa pamoja na vita vya makabila,poleni sana CCM OYEEEEEEE KUELEKEA 2015

Pole ndugu yangu kwa majukumu. Waambie CCM kazi waliyokupa ni ngumu. You are the newest JF member, Magamba at work.

Join Date : 30th May 2011
Posts : 3
Thanks:
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
 
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.

Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja zinazokubalika na wananchi wa kila rika. Baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mabaya, CCM wameamua kutumia nguvu ya DOLA.

Mwenyekiti, Katibu na Mpiga porojo wao wanaonekana kuchanganyikiwa namna mambo yanavyoenda. Madogo (UVCCM) nao wamekuwa wakali utadhani wamevutishwa bangi ya Msukule huku kila kundi likitoa matamko ambayo hayana tija kwa amani ya Chama.

Nao CCM B imekuwa vurugu tupu, sijui na wao wamechukua katabia ka kaka zao, naona wameanza kuvuana magamba hadharani.

CCM A na B wamechoka kupambana na CDM, iliyobaki ni kuchapana viboko wao kwa wao mpaka kieleweke, CDM wao ni kupulizia tu na kusubiri Viherehere wengine wajitokeze.

Lo, My Gooooooood!!! Tutafika kweli. Kwa yeyote anayeona bila biasness CHADEMA peke yake imebakia kuwa Chama Imara katika wakati mgumu. Wananchi tunaona.

Kweli Chedema mnatukuna Jamani, CCM Kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
Jipeni Moyo tu Nape anafanya kazi angalizo 2015 hatutaki ujinga wa kusema mmeibiwa kura,ooooh tumechakachuliwa na msilete habari zenu za Nchi haitatawalika,na makontena ya kura yameingia kinyemela!
248491_217107234977364_100000342668655_756692_5701977_n.jpg
 
Hivi unaamini kwamba Mpendazoe ndie aliyewafanya CCM wajue kwamba Sitta, Mwakyembe na Nape ndio walikuwa waanzilishi wa CCJ? Habari hii ilijulikana siku nyingi kupitia UWT na ndio maana Sitta alisukiwa mizengwe asiendelee kuwa speaker lakini akapozwa kwa kupewa uwaziri na Nape kuambulia ukuu wa Wilaya. Mwakyembe naye alipewa unaibu waziri kwa ajili hiyo hiyo. Cha maana alichosema Mpendazoe ni kwamba watu hawa sio wapambanaji wa ufisadi halisi!!!!

Tiba

Suala siyo ama CCM walijua kabla au baada ya Mpendazoe kuongea. Nadhani mkakati wa CDM ulikuwa ni kuwafanya watanzania wote na hasa wanachama wa CCM waliokuwa hawajui waelewe Nape na wenzake ni watu wa aina gani. Na sasa badala ya Nape kupambana na CDM inabidi awaeleze wanachama wote wa CCM yeye na wenzake walikuwa anatafuta nini CCJ.
 
Jipeni Moyo tu Nape anafanya kazi angalizo 2015 hatutaki ujinga wa kusema mmeibiwa kura,ooooh tumechakachuliwa na msilete habari zenu za Nchi haitatawalika,na makontena ya kura yameingia kinyemela!
248491_217107234977364_100000342668655_756692_5701977_n.jpg

Tanzania kwa misukule bana, hebu angalia huo ulioko mbele ya Nappy.
 
Back
Top Bottom