Kweli CCM Tunachukiwa!

Laiser Tom

ninyi maccm mmelaaniwa na Mungu mwenyewe kwa kuwanyima haki watz na kula utajiri wa watz. laana hii inaenda hadi kwa watoto wa watoto wenu vizazi vinne. mmejaa unafiki, mmejaa rushwa, mmejaa ubinafsi na uonevu. mna kiburi hadi mnajiona ninyi miungu watu, hata Mungu aliyeumba hii Tanzania mnayojitajirisha nayo mmemsahau, na wakatu umefika wa Mungu kuwaaibisha. mtakuwa kama mtu aliyevua nguo na kutembea barabarani, na kamwe heshima yenu haitakuja kuimarika.
 
Last edited by a moderator:
mi naonaga mtu anaeitetea ccm hata hum jf ambae hafaidiki na,mfumo anafanya maigizoo ,,,,lasivyo watetea ccm wote ni wale ambao wanakula kupitia ccm,,,,,jana nlikua nmepanda daladala la k/koo_masaki ikazuka mada ya siasa,,,jamani aibu yaani watu tulikua wengi alafu wote hamna hata mmoja alieonekana kuitetea ccm ,,,,,,yani kila,mmoja alikua anarusha dongo analolijua hadi dereva nae alishiriki ilihali anaendesha gari..........nikasema ccm wakifosi goli la mkono this year hapatakalika tz...
Mkuu wapo mafukara wachache wa akili mfano wajumbe wa nyumba kumi,hakuna wanachofaidika zaidi ya viatu vya book kumi,kanga au dela la book tano ambavyo in a long run ni hasara maana watoto wao hawasomi maana hawawezi kuwalipia shule nzuri
 
Ukifanya uchunguzi mdogo sana utakuta. Chadema inapendwa na wachagga ,wapare kidogo na wamasai wamehamia baada ya jamaa kukatwa.ukichunguza tena kidogo utagunduwa kuwa chadema inapendwa kaskazini na kwenye miji mikubwa kwa kiasi kidogo Kama mwanza,dar ,mbeya nk. Mkuu Tanzania ni zaidi ya hizo sehemu nilizokutajia.wala usitishike tena nimesahau kwa mf.kaskazini kwa sasa wambulu wamechukizwa sana na kiongozi wao Dr.Slaa kunyanyaswa wamerudi ccm wote.kwahiyo wala usiwe na shaka hizi kelele za hapa jf wala zisikuumize kichwa wapiga Kura wametulia wanasubiri mtanange.
 
Laiser Tom

Mkuu ongera sana kwa sisi waelewa tumekupata vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Jamaa wako kikanda zaidi lazima wamtetee mgombea.
Kubalance story yako siku panda basi la DSM kwenda Mwanza au Mbeya au Songea ili upate na mitazamo ya watu sehemu tofauti tofauti ili uweze tengeneza hitimisho lenye kubalance.
 
Mtoa mada mmasai,hii post umeiweka kimtego au kiuzushi.
huyu mtu sikujua km ni Masaai
Laiser Tom ww ni MZUSHI No waheed
yaani unapanda gari linaenda kwenu Arusha halafu anatudanganya walioko kwenye basi wanaichukia CCM
kwanini usipande mabasi ya Mwanza, Najmunisa, SABCO Simiyu yetu asikie wanavyomfagilia Magufuli
Hiyo ni Nchi ya Kaskazini nayo inataka itawale safari hii
si ajabu idadi yenu mpambanishwe na Mkoa wa Geita tu, tosha katika kura ya Urais
 
Back
Top Bottom