GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,809
- 6,543
Naamini wangeweka makazi yao Singida kama walivyofanya Arusha, hali ya Singida ingekuwa ni tofauti na ilivyo sasa.
Miji waliyokaa Wazungu enzi za ukoloni ina utofauti mkubwa sana na mingine kimaendeleo. Mingi imeonekana kuendelea.
Kwanini walipakwepa Singida, mbona ni "nchi" nzuri tu?