Rio Shabazz
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,334
- 2,169
wahindi ni pakistan, bangaladeshi ,india, kashmiri, sri lanka!!
Hawa watu jamani ni hatari Mungu kawajalia uzazi! Tena hawa wengi si wale wa wake 4 hapana mke mmoja labda na wachache zaidi ya mmoja!
Nadhan mungu kawabariki wahindi na wachina!! Si wa uzazi huu
Miaka kadhaa itakua katika watu 5 mmoja n mhindi au mchina..