Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

Halafu hawa smart tatizo lao jingine ni kwamba HATA ULE UTANI UTANI WA KIMAPENZI HAWATAKI. Na ndio maana hata kuwaandaa kwny mgegedo kazi sana kwa sababu they dont respond positively hata ukianza kumchezea chezea. Yan ni kama hawana genye kabisa. Hata kissing kwao shida. Aaaarggh...!!!

Wanamatch sana wakikutana na mwanaume cool, ila wanaboa sn wakikutana na kina sisi wapenda utani kila dakika..!! Yan utafikir umekaa na msukule.

RAHA YA MPENZI AJIBEBISHE BANA, hapo hata dudu linashtuka. Unavuta ndani, unapiga kimoko au viwili fasta, maisha yanaenda.....!!!
Umenigusa mkuu duuu aisee aiseee Mungu anakuona kwa kweli yaani sitii neno tena
 
Kuna mdada mmoja ni medical doctor kichwa kinoma,aliolewa akiwa bikra kabisa sasa kwenye ndoa Mume wake alizaa na beki 3,yule Dada mpaka Leo amegoma kumsamehe mumewe na alivyojeuri aliwaachia Nyumba akaanza maisha Yake na wanawe ,Mungu amemsaidia amejenga ghorofa mbweni Mara baada ya kuachana na Mume wake,yaani wanawake bright ukicheat hakusamei milele
Huwa hawasahau. Yaaan akisema no thats the end kaka.
 
Huwa hawana chochote kwenye hiyo sekta na hua wanapenda kujikweza, hawatki mume awe juu yao, wao kila kitu wanaona wanapelekeshwa tu.... Ukiamuw kuishi nao ishi nao tu japo kuwapata si rahisi bt wanaaminika sana... Ni waaminifu na wana hisia za ndani sana.... Wanachoshindwa ni kizieleza hizo hisia kwa matendo km mapenz yanavotaka.... Yeye anataka ujue tu anakupenda bhaaaaas!!

UKIWEZA KUJUA BLOOD GROUP NA TABIA ZAKE HUWEZI KUJIULIZA HAYA MASWALI...
 
Inashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia kusaidiana kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. And of course kuna faida nyingi tu, kuwa na mwanamke aliye smart upstairs.

Tatizo lililopo kwa hawa wanawake smart kichwani ni kwamba wengi wao sio romantic. Huchukulia mapenzi kwao kama ni kitu cha tatu after maendeleo yao binafsi, na kuwa bize na other issues kma kusoma kila wakati na ikitokea kuna mabishano au kupishana kidogo tu, they never go down, na ni wachache mno kukuta wanaomba samahani, regardless kosa ni la nani. Atapambana mpaka mwisho hata kama kakosea yeye.

Na kwakuwa mapenzi kwa wengi wao hawayapi kipaumbele, basi kitandani wanachojua wao dushelele likiingia basi, ndo washamaliza. Hakuna utundu wowote. Hapa sasa mume akijaribu tu kuchepuka kwa kina Mwajuma Sinanoma, Aisha, etc, watoto ambao ni wa uswazi, lazima apagawe.

Maneno yangu sio sheria!
usimumunye maneno..sema tuu hawana chura
 
Mwanamke yoyote yule, ni vile wewe mwanaume utakavyompeleka...

Acha kuangalia kama huyu mwanamke ni smart kichwani au ni damb kichwani...

Make her what you want her to be...

Be a man and not a boy... siyo lazima ubishane nae, but have the final saying...

Cc: mahondaw
 
usimumunye maneno..sema tuu hawana chura
Hapana si kweli. Kuwa na chura au kutokuwa na chura hakuhusiani na personal traits wala smartness. Ila matumizi ya hyo chura ndo yanaingiliana na smartness. Tho hata wasio smart wengi sana tu hawatoi chura.
 
Back
Top Bottom