Kwanini wanawake wanaiunga mkono CHADEMA kwa woga?

Waongeze viti maalum mie mwenyewe nataka ubunge wa viti maalum
Mkuu viti maalum ni mpango wa kupita tu wa kuwawezesha wanawake, halafu vinategemea idadi ya kura kutoka kwenye general election.
So tunarudi pale pale lazima upate uungwaji mkono wananchi kwanza ili viti viongezwe
 
Wanawake ni kundi rahisi sana kutumiwa na CCM kama mtaji wa kisiasa katika kila uchaguzi.
 
Ukitumia akili ya ung'amuzi, utajiuliza je hawa wanawake unaowaona kwenye mikutano ya CCM na mkewe CUF, ni wanawake na namna gani?

Utagundua kuwa wengi wao ni wale watu hopeless ambao mara baada ya mkutano kuisha, ukimuuliza kimeongelewa nini cha maana hajui. Kitu pekee atakachokumbuka ni mipasho ya Kikwete na matusi ya Lusinde.

Kwa upande wa pili, utaona hao wachache wanaojitokeza kwenye mikutano ya CDM, ni wanawake liberated ambao wana adabu zao na si rahisi kuacha shanga nje wakakatika kwenye mavumbi. Wanakuja kusikiliza hoja.

CHADEMA haigawi khanga wala kupiga taarab, wanawake wa hovyo hovyo lazima wajae
 
Watoto wao wanakufa kwenye mikutano ya cdm mfano iramba singida,morogoro,na iringa so wanaogopa na wao kukumbwa na hayo
 
Maneno ya rehema mohamedi juzi kwenye mkutano arusha kuwa alikuwa analazimishwa nanihino na lema pamoja slaa inawezekana yanawatia hofu
 
Wanawake ni kundi rahisi sana kutumiwa na CCM kama mtaji wa kisiasa katika kila uchaguzi.

ccm inaungwa mkono na wananchi wote, watoto,vijana,wanawake na wazee ndio mana ikifika wakati wa kura haitumii nguvu kubwa
 
pamoja na sabau zilizotolewa na wanajamvi sababu nyingine ni kuwa wanawake wengi hawsomi na kusiliza habari kuhusu CDM na kujua hasa kinachoendelea. wengi wanapata habari kijuujuu ukilinganisaha na wanaume
wanawake wengi hawasomi magazeti ya siasa. sana ni yale ya udaku. hawasikilizi taarifa za habari kama wanaume. unaweza ukawa unasikiliza habari muhimu lakini mama yuko bize na watoto. wanaume hukaa katika vikundi na vijiwe na kujadiliana masuala ya siasa wakati wanawake muda mredu wako nyumbani
cha kufanya ni kuanzisha mikakati ya kuwakutanisha wanawake kisha kuwapa elimu hata kwa kuwalipa kaposho kidogo. pia vianzishwe vikundi vya kinamama kuhamasisha. CCM iko kila mahali, ina rusha roho, maigizo, kanga vikundi, mikopo n.k. ambavyo vinawavutia sana Kazi kweno CDM
 
Back
Top Bottom