Danken Mbombo
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 651
- 339
Hebu tujiulize kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume? Kwanini wana uzuri, maumbile na tabia tofauti? Je wanapozaliwa wengi kuliko wanaume ni bahati mbaya? au ni mpango maalum wa Mungu ambao wanadamu kwa upeo wetu mdogo hatuelewi.
Ingekuaje kama wanawake wote wangekuwa sawa katika kila kitu ? Wapi ni ndani ya ndoa na wapi ni nje ya ndoa ikiwa ndoa ni makubaliano ya wawili wapendanao? Mtoto wa ndani ya ndoa na tunaemwita wa nje ya ndoa nini tofauti zao mbele ya Mungu?
Je inawezekana wanawake wote kuolewa? kama haiwezekani, wasioolewa wafanywe nini ikiwa mahitaji yao ni sawa na ya wale waliobahatika kuolewa. Je tuwatenge?Au tuwaombee warudi walikotoka?
Halafu tumuombe Mungu aachane na mpango wake wa kutuletea wanawake wengi, lengo likiwa ni kulinda ndoa zetu wadau, tukiwa na majibu sahihi ya maswali haya tutaweza kujua kama wanaume wanaotembea nje ya ndoa wana tamaa, wana matatizo au wanawajibika?