Kwanini wanadamu tupo Duniani?

Wakuu sorry

Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi

Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu

Dah
Kwasababu ni mahala tunaishi then ndo tunasepa.
 
Back
Top Bottom