Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu.

Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya. Natabiri zipo sura zitatumbuliwa bila hata kushika kipaza sauti kuzungumza na wananchi. Wengi wamekaa maofisini na kuendesha soga zisizo na tija.

Contrary may be yapo mapungufu kwenye majukumu ya DC na RC, yawezekana hawana majukumu rasmi.
Nategemea kwenye safu mpya tuone mabadiliko kwa tumetoa mbaya tukaingiza nzuri, kila siku Rais kutumbua; anachoka.
 
Back
Top Bottom