Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Nilikua nachukulia poa maana huku maofisini tunakitumia kama lugha ya kawaida tena kwa uzoefu mkubwa tu, ila nilivyoona Wabongo wanateseka kwa kutokujua kingereza na wanavyotuonea wivu hehehe nikajua kumbe kina thamani, kwanza kuna Wakenya wengi huko Bongo wamefanya kingereza kuwa mtaji.
si ndio ualimu wa chekechea au??

huko kwenu naskia nayo ni lugha ya taifa.
 
Kitambo kabla sijaja Tanzania nilikua nachukulia kingereza poa, sikua naona kama kitu kikubwa cha maana, kwa sababu nilianza kufundishwa na kukitumia tangu chekechea, ila niliona thamani ya kujua Kingereza nilipokwenda Tanzania na kukuta mnavyoteseka kwa kutokijua, namna kinawapa chenga, yaani watu wanakusanyika kwenye kikao halafu ikiamuliwa lugha itumike ya Kingereza, Watz wanaganda balaa, na kila mmoja anayejitutumua anateseka hadi huruma...ze ze ze nyingi kutunga sentensi kunawapa shida, kuanzia kwa wakurugenzi hadi makajamba wa kawaida.

Japo kingine nilichokiona, ukitaka kuzima umbea wa Kitz, sisitiza kikao kifanyike kwa kingereza, maana mkiachiwa mfanye kwa Kiswahili hatutakuza chochote maana mna maneno maneno mengi mpaka kikao mlichokusudia cha lisaa moja kinakwenda masaa matano na hamna cha maana mnachoibuka nacho, ni umbea umbea tu wa KISHILAWADU.
Ushamba ni kushabikia lugha ya mkoloni. Bado upo utumwani wewe
 
si ndio ualimu wa chekechea au??

huko kwenu naskia nayo ni lugha ya taifa.
Kama haujajua lijue basi, kwenu huko viongozi na Watanzania wenye hela wameamua watoto wao hawatakua mazezeta kama nyie wengine msojua English, hivyo wanatumia hela nyingi sana kwenye elimu ya chekechea na msingi kwa watoto wao, ni dili la kufa mtu yaani. Kwanza wengine wanaalikwa hadi nyumbani kuwapa hao viongozi elimu ya kuongea kingereza.
St Kayumba kama nyie mumeganda hapo Buza mkiongopeana eti uzalendo ni kutokujua kingereza maana kiliwashinda, wakati wenye hela na busara wameshaliona na kujipanga.
Yeah kingereza n mojawapo wa lugha rasmi Kenya, aiisei nakipenda yaani raha tu kwanza nikiwa kwenye kikao Bongo halafu itumike Kingereza huwwa napata raha sana nikiwafunika wote mnapoganda kwenye ze ze ze
 
unazungumzia viongozi gani!!!!viongozi wenye pesa wanapeleka watoto shule zifuatazao, feza group,tusiime,st marry's,na baadhi IST.zamani 90s walikiwa wanaleta watoto kenya,ikaja fahamika kumbe ni kiingereza tu wanafundishwawatoto wanatoka na maalifa ya kuku.

haya humo kwenye shule za ada 1ml-3mln, hakuna walimu wa kenya now,yaani kifupi waalimu wa kiingereza wamejaa tz now.ndio sababu hata mmeanza kufukuzwa maana wengi wenu hata vibali vya kuishi hamna.

bahati mbaya unajiskia raha tu kuongea kiingereza mbele ya mweusi mwenzako,ila mbele ya mchina asipokuelewa unaelewa kwamba sio lugha yake ya taifa,kichwa nundu katika ubora wenu.
 
Hizo shule zinafundishwa na Wakenya maana nyie watu wa ze ze ze hamuwezani bana, ila pia kuna wengi wanaleta watoto wao huku, nilishangaa sana kuona Mtanzania ameleta mwanaye asomee kwenye shule fulani huku Kenya maeneo ya ndani sana, tena jamaa alikua anendesha gari lal kifahari maana kwamba sio kajamba wa kawaida kama nyie huko Buza.
Kingereza kina raha sana bana...napenda kukitumia kwanza nikija kweu huko yaani hehehe
 
Tatizo mkiambiwa ukweli huwa mnaona kama mnachukiwa, hivi mchukiwe kwa lipi au mna kipi haswa hicho cha kuchukiwa.
Hapo jamaa ametoa maoni ya kurekebisha ili iandikwe kama ilivyo.
Daraja letu Athi River lina urefu wa mita 2,785m
Daraja lenu la Mkapa lina urefu wa mita 970m

Kwa hivyo ametoa maoni iandikwe kwamba letu ndio refu Afrika ya Mashariki, ilipaswa badala ya kulialia umbishie kwa data zako ueleze namna gani urefu wa 970m umezidi wa 2,785m.
Hiyo ni SGR mzee, siyo daraja la kuvusha watu, mikokoteni, baiskeli, pikipiki na magari
View attachment 1678963View attachment 1678964
 
Mkuu wacha kudagaya watu, Chakula chetu kina soko kubwa ndani na nje ya nchi, Ulisema gunia mahindi limeshuka bei hadi 36,000, tulikuambia utupe taarifa ili tuyapate lakini umeshindwa, namba za simu ulizonipa wanasema hakuna hiyo bei, usidanganye watu MKUU.

Kuhusu makampuni kuongezewa kodi, hilo pia ni uongo, sisi tuna kampuni letu hatujawahi kuongezewa kodi yoyote zaidi, tatizo ni kwamba makampuni mengi yalikua hayafanyi "Tax returns",matokeo yake makampuni mengi yanadaiwa pesa nyingi za miaka ya nyuma, ninahisi hata muajiri wako hilo lilimkuta.

Mkuu kipindi hiki cha Magufuli hakuna ubabaishaji, kama uliwahi kuishi Europe ndio utamuelewa JPM. Europe ukitaka kufilisika kwepa kodi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobisijui office yako iko wapi uletewe mzigo.

Mkuu nimekuambia hayo mahindi ya gunia shs. 36,000 mimi ninayahitaji, umenipa namba za jamaa zako wamesema hiyo bei haipo, kwamba mahindi yamepanda bei sana, wewe badala ya kuniunganisha umebaki kupiga soga kwamba unasikia huko bei ni 6000 kwa debe, sasa hiyo bei maana yake gunia la debe 7 itakua Tshs.42K hadi 49K, huko Kenya kwenyewe serikali inanunua mahindi toka kwa wakulima kwa Kshs.2500, kwahiyo hata kama mahindi yetu yakifika huko hayawezi kununuliwa kwa bei zaidi ya hiyo tunayonunua hapa Tanzania. Mkuu tafuta kazi ujiajiri wacha kutegemea kuajiriwa utakua ni mtu wa hasira na chuki zisizokua na maana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ofisi yako iko wapi chief uletewe mzigo. Niambie na mahitaji yako kwa wiki. Ila mahindi yana bei mbaya. Mpunga upo tu hauna wanunuzi.
 
Do you know the so called Dr JOHN POMBE MAGUFURI BRIDGE? IT IS OVER 3 KM BRIDGE CROSSING LAKE VICTORIA IN MWANZA.OFFCOURSE STILL UNDER CONSTRUCTION.

Tatizo mkiambiwa ukweli huwa mnaona kama mnachukiwa, hivi mchukiwe kwa lipi au mna kipi haswa hicho cha kuchukiwa.
Hapo jamaa ametoa maoni ya kurekebisha ili iandikwe kama ilivyo.
Daraja letu Athi River lina urefu wa mita 2,785m
Daraja lenu la Mkapa lina urefu wa mita 970m

Kwa hivyo ametoa maoni iandikwe kwamba letu ndio refu Afrika ya Mashariki, ilipaswa badala ya kulialia umbishie kwa data zako ueleze namna gani urefu wa 970m umezidi wa 2,785m.
 
Do you know the so called Dr JOHN POMBE MAGUFURI BRIDGE? IT IS OVER 3 KM BRIDGE CROSSING LAKE VICTORIA IN MWANZA.OFFCOURSE STILL UNDER CONSTRUCTION.

Humu tunazungumza kuhusu vitu vinavyotumika, huko kwenu niliona Harmonize akiimba kwenye wimbo wa kufanyia CCM kampeni, akisema mnateleza kwa SGR, nikawa nimeshangaa lini mlianza kusafiri kwa SGR.
 
Hehehe wacha kuchekesha wewe....hebu acha mawenge usome upya...
Ndio maana nawaambia mfundishwe English, acheni uzembe.
Nilikuwa na tani moja ya chakula, mchele ambao nimekula tangu june 2020 hadi sasa sijamaliza. Njoo nikupe kilo 100 zikufae wakati wa njaa huko kibera
 
Nilikuwa na tani moja ya chakula, mchele ambao nimekula tangu june 2020 hadi sasa sijamaliza. Njoo nikupe kilo 100 zikufae wakati wa njaa huko kibera
Mazezetas ikifikia hali ya wali na chakula nzuri medali ni yenyu.
You are world champions ubishi hamna.
 
Back
Top Bottom