Kwanini wahafidhina wengi huwa maskini na wenye elimu haitoshi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,265
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?

Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.

Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
 
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali...
Ni rahisi watawala kuwatumia masikini na wajinga kuendelea kutawala kuliko kuwatumia wasomi na wenye uwezo kiuchumi.
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
We
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?

Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.

Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
We nenda katibiwe, siyo kwa kichaa hicho. Akili yako imejaa uchafu. Huelewi ht maana ya uhafidhina
 
Kwa nn watu wajinga na wapumbavu wanazidi kuongezeka?!, unakuta mtu ana cheti kinacho mwonyesha kuwa ana degree,lkn ni mjinga na mpumbavu wa kiwango cha juu,kama huyu aliyeleta hii mada.
 
Unawezaje kusema Ccm ni maskini, huoni huo ndio umasikini wenyewe sasa,, Nchi hii kuna tajiri asiye Ccm?

Nenda kavute nyingine.
 
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?

Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.

Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Hata waigizaji, wanamuziki, directors na wanamichezo wengi wenye majina makubwa ni Waliberali!
 
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?

Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.

Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Conservatives ni waoga sana wa changamoto wakihofia kufeli, kumbe kufeli inaweza kuwa namna nzuri ya kujifunza.

Wanashikilia tu kile walichorithishwa iwe ideolojia, madaraka au chochote, hata kukiboresha wanaogopa kwa kudhani watakikosa kabisa au wataharibu.

Hofu ya mabadiliko inawagharimu
 
Conservatives sio watu wenye imaginations kubwa na sio creative sana kulinganisha na Liberals.
 
Ni kwa nini wahafidhina/conservatives duniani kote huwa maskini na wenye elimu ndogo ukilinganisha na wapenda mabadiliko/waliberali?

Marekani wahafidhina wa chama cha Republican ni maskini na wanaelimi ndogo ukilinganisha na wake wa democrat. Majimbi yaliyojaa wahafidhina nayo ni maskini sana.

Hata hapa kwetu. Watu masikini na wenye elimu duni wameng'ng'ana na uhafidhina(uCCM). Huko ukiwakuta watu wenye elimu na uwezo kiuchumi basi wako ki maslahi zaidi na si kwa kuamini katika itikadi. Kwa nini ipo namna hii?
Pia wafahidhina wakipata elimu vizuri wanakuwa manguli wa conspiracy theories.
 
Back
Top Bottom