Kwanini Vijana??

kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?

Mkishiba tabu! Mkiwa na njaa tabu! Aliyekwambia vijana wa siku hizi hawawezi kuwa na mpenzi mmoja ni nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tunapenda kugegeda na wanawake wamekuwa rahisi sana kupatikana....ebu wee tafuta hela alafu uone utakavyofuatwa na mademu
 
kwa nini vijana wa siku hizi
hawawezi kuwa na mpenzi mmoja?

tupo wachache sana ambao tupo smart kimtazamo na kimwelekeo wa future, na mademu wengi wanapenda smart boyz, so competition ya dada zetu ni kubwa ukizingatia wao ni wengi tena wote
ni warembo balaaaaaaaa
 
watoto hawajakomaaa na wazee wamezeeka hawana nguvu ndo mana vijana 2
 
Back
Top Bottom