Kwanini uteseke kushona nguo zilizochanika/au kufumuka na sindano ya mkono? Sasa tumia mashine hii popote pale .

queenblack94

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
453
28
Kwanini uteseke kushona nguo zilizochanika/au kufumuka na sindano ya mkono? Sasa tumia mashine hii popote pale .

yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi. Inashona kama cherehani ya kawaida.

Haitumii betri wala umeme
Rahis kubeba
Unashona cotton,jeans,polyester, silk pia hata nylon.
️unaweza kupinda kanga,mashuka,mifuko

Bei ni Tsh 20000

Kuletewa kwa dar ni gharama ya mteja,mikoani tunatuma pia.

napatikana dar-tegeta A.
8d5454db4d2423ac8d449517bacb43fe_0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom