Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kunyonga wahaini na maendeleo!!…..
Uhaini unaoongelewa hapa si wakupindua serikali ila ni uhaini wa maendeleo ya nchi kama rushwa, ufisadi, kusababisha hasara kubwa kwene mali ya umma, uzembe na kuliingiza taifa kwene umasikini kwa makusudi au uzembe.
Kuhujumu miundombinu au mapato ya nchi
Namba haidanganyi!
UTAJIRI UNAHITAJI ROHO NGUMU
NB: Adhabu ya kunyongwa lazima itolewe na taasisi imara zisizopokea rushwa