Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

tatizo maumbile yenu yanawafanya mnatembea na wanaume waliowazidi umri mnaacha wa umri wenu mda wa kuolewa ukifika umeshatumika na wa umri wako wameshaoa mnabakia kuwa vimada.
=
huwa mnajisikia wazuri pale mnapopita wanuume kuwaangalia sana ilo ni tatizo.
 
ndo yaliyokukimbiza kwa yule sisiteri?
tena umetukashfu sana sie akina chibonge
kama vipi uchukue mfutio wa kalamu uupake mate ufute haya maneno hapa chini.


Wanaume wanaogopa vingi sana. Pamoja na hizo sababu tajwa hapo juu kuna hizi pia,
Kununua kitanda kikubwa, kuchekwa, kuogopa mwanamke bonge kuzeeka haraka, harufu mbaya kutokana na maumbile hayo n.k
 
hahahaaa... Nimecheka mpaka basi....! Haki yanani kwa style hii lazima watabanana kufanya diet
Ili mtu umsaidie inabidi umwambie ukweli ili ajirekebishe. Mi mtu anapo niomba ushauri namwambia ukweli japo najua ukweli unauma. mia
 
Wengi wenu mnapiga menyu balaa, na kosa lenu siku ya kwanza ya kudate mnapiga menyu ya kufa mtu (Kuku mzima, chips full, bia/soda mpaka kiwanda kinafurahi. Baaye kidogo mishikaki au mguu wa mbuzi/jembe mpaka mwanaume anatishika bhana.
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.

Ni kutokana na
1. Mnakula sana.... hasara
2. Kushona nguo inabidi mnunuliwe likitambaa likuubwa.. hasara
3. Kwenye gemu mkipanda juu mnatuchosha kubeba kilo 150 (mifuko 3 ya cement)...
4. Mnajamba kupita wastani... bughudha
5. Mmejaa fangasi... kuwashwa
6. Nanii zenu zimefunikwa na mafuta mengiii... sio tamu
7. Vitanda vinachakaa mapema... hasara
8. Hambebeki... beach
9. Kwenye gemu mnachoka mapema...
10. Ni wavivu...
 
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi
.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI
.

Jibu liko straight sana tu. Sababu kubwa ni kama zifwatazo:
(a) Maumbile yenu ni kivutio kikubwa kwa wanaume hii hupelekea wanawake wenye sifa ulizotaja kuongoza kwa kutongozwa. yaani mwanamke wa shape iliyotajwa ana wastani wa kutongozwa na wanaume watatu mpaka kumi tofauti ndani ya siku moja. The more the kutongozwa, the more the probability of saying yes.
(b) Wengi wao huwa na roho ya huruma na caring ya kutosha, hii nashindwa kuelewa ni kutokana na nini, ila ukifanya uchunguzi utagundua kuwa kuna ukweli kwa asilimia kubwa. Sasa akikutana na mzee aliyekuwa tayari kishakuwa mixed up na ndoa yake back home, then yeye akampatia hiyo caring, mara nyingi wazee hunasa kabisa na wakahalalisha nyumba ndogo.

Nawakilisha.
 
Having a big rear is considered sexy for the majority of man. It’s not just a sign of a healthy individual bit it also looks great in jeans. In fact, many ancient fertility statues discovered all around the world have shown to have a enormous butt. Granted that it’s probably to emphasize the fertility function, still, it shows that big butt have been considered as one of the good sign in woman since the old civilization. Now modern science have also discovered that there is more benefit for woman with big rear. New study have revealed that having stored fat in your rear or your thigh, or as known as subcutaneous fat, can actually improve your life expectancy. The research conducted by experts from Mayo clinic in Rochester, Minnesota US showed that these accumulated fat can help reduce the risk of heart attack, stroke and diabetes. Big Butt is A Good Thing Noted that this doesn’t apply to stored fat on your belly or abdominal fat. Apparently fat stored on your belly are not the same with the one stored on your rear and thigh. In the study the scientist discovered that the stored fat on your rear and thigh contains anti-inflammatory enzyme that could release artery blockage. It is also effective in encouraging your body to use your natural insulin to fight off diseases and ironically, lose weight. The subcutaneous fat is also breaks down slower than abdominal fat. While this makes the fat harder loose, it also means it produces fewer inflammatory cytokines which have been linked to heart disease, diabetes and obesity. “The surprising thing was that it wasn’t where the fat was located, it was the kind of fat that was the most important variable,” explained Dr. Ronald Kahn. “Even more surprising, it wasn’t that abdominal fat was exerting negative effects, but that subcutaneous fat was producing a good effect. I think it’s an important result because not only does it say that not all fat is bad, but I think it points to a special aspect of fat where we need to do more research.” One of the researcher Dr Michael Jensen says that they are currently looking for ways to increase fat production on your lower body without increasing fat production anywhere else. So if you one a healthy body you can now add pear shaped to your list of option in addition to the more common guitar shape. The apple shape is still not to be desired though.
 
Having a big rear is considered sexy for the majority of man. It’s not just a sign of a healthy individual bit it also looks great in jeans. In fact, many ancient fertility statues discovered all around the world have shown to have a enormous butt. Granted that it’s probably to emphasize the fertility function, still, it shows that big butt have been considered as one of the good sign in woman since the old civilization.
Now modern science have also discovered that there is more benefit for woman with big rear.
New study have revealed that having stored fat in your rear or your thigh, or as known as subcutaneous fat, can actually improve your life expectancy. The research conducted by experts from Mayo clinic in Rochester, Minnesota US showed that these accumulated fat can help reduce the risk of heart attack, stroke and diabetes.

Big Butt is A Good Thing
Noted that this doesn’t apply to stored fat on your belly or abdominal fat. Apparently fat stored on your belly are not the same with the one stored on your rear and thigh.
In the study the scientist discovered that the stored fat on your rear and thigh contains anti-inflammatory enzyme that could release artery blockage. It is also effective in encouraging your body to use your natural insulin to fight off diseases and ironically, lose weight.
The subcutaneous fat is also breaks down slower than abdominal fat. While this makes the fat harder loose, it also means it produces fewer inflammatory cytokines which have been linked to heart disease, diabetes and obesity.
“The surprising thing was that it wasn’t where the fat was located, it was the kind of fat that was the most important variable,” explained Dr. Ronald Kahn. “Even more surprising, it wasn’t that abdominal fat was exerting negative effects, but that subcutaneous fat was producing a good effect. I think it’s an important result because not only does it say that not all fat is bad, but I think it points to a special aspect of fat where we need to do more research.”
One of the researcher Dr Michael Jensen says that they are currently looking for ways to increase fat production on your lower body without increasing fat production anywhere else.
So if you one a healthy body you can now add pear shaped to your list of option in addition to the more common guitar shape. The apple shape is still not to be desired though.
 
Back
Top Bottom