Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Kwenda kwa Rais Arusha leo ni asset au liability kwenye uwanja wa siasa? Kama ni liability washauri wake walishindwa kuona madhara haya? Kama ni asset, kivipi?
Kwa ukubwa wa msafara wa Lema, hakuna umuhimu. Rais akatembelea Arusha kikazi azungumze na wananchi hivi karibuni kuonesha kukubalika kwake hata baada ya wapinzani kurejea ulingoni? Akifanya mkutano asipate watu wengi kama waliofurika kwa Lema itakuwa political asset au liability kwa ccm?
Au avunge tu siku zisonge?